Kosmos Connect

Kosmos Connect KOSMOS CONNECT is Taita Taveta's AWARD WINNING number one online Media that brings all the current affairs.REACH US ON 0740296944/0787149293.

SUPPORT KOSMOS
TILL NUMBER 3063708

20/09/2026

Kundi la MWANA WETU lazindua sehemu ya kuweka bidhaa tofauti tofauti kwa ajili ya kusaidia kina mama na watoto wadogo.

Katika uzinduzi huo mama Alice Naomi Sangunai ambaye ndiye mwanzilishi wa mradi huu wa kusaidia watoto alieleza umuhimu wa jamii kusimama pamoja na kusaidia kina mama wanapojifungua jambo ambalo viongozi wengine ambao walikuwa wamealikwa walikubaliana nalo.

Ukiwa na bidhaa yoyote ambayo itasaidia kina mama pale maternity unafikisha pale taveta hospital.
wetu

Tommorrow  deputy governor speaks for the first time on kosmos hotseat.Hii sio ya kukosa kabisa.
20/09/2026

Tommorrow deputy governor speaks for the first time on kosmos hotseat.

Hii sio ya kukosa kabisa.

Hii simu iliokotwa jana kwa tuzo za taveta excellence, anayemjua huyu muhusika apige hii number kupata simu yake 0743963...
20/09/2026

Hii simu iliokotwa jana kwa tuzo za taveta excellence, anayemjua huyu muhusika apige hii number kupata simu yake
0743963011 Kisungura John

Asanteni sana kwa kutuamini k**a kituo bora cha habari taveta,tunashukuru sana.
20/09/2026

Asanteni sana kwa kutuamini k**a kituo bora cha habari taveta,tunashukuru sana.

18/09/2026

Mama Maria nareku na mzee nashera kodawa wapokea tuzo za heshima kutoka taveta excellence awards.

Sherehe kamili itafanyika kesho burneys hotel.

Mama Maria amekuwa kipaumbele toka mwaka 2001 kupigana dhidi ya ukeketaji

Mzee nashera kodawa amekuwa kwa miongo mingi mtunzi bora kwa majukwa mengi.

17/09/2026
VIP TICKETS SOLD OUTZimebaki REGULARS and VVIP  grab your seat 💺 before they are all booked. SHIKA TICKET YAKO NA MAPEMA...
17/09/2026

VIP TICKETS SOLD OUT

Zimebaki REGULARS and VVIP grab your seat 💺 before they are all booked.

SHIKA TICKET YAKO NA MAPEMA
TO GET TICKET VISIT LUZUA CYBER OR CALL 0740296944

14/09/2026

Mahoo ward kutengenezwa barabara kwa ajili ya kurahisisha uchukuzi katika wadi hiyo.

14/09/2026

Bwire atetewa na viongozi mbalimbali dhidi ya madai ya kuwa yeye sio mtoto wa taita taveta,
Viongozi hao wakemea vikali semi hizo za ukabila.

14/09/2026

"Taita taveta tunasema tutam kwa sababu ya maendeleo ambayo tumeona Taita Taveta"
Ni kauli ya viongozi mbali mbali wa Taita taveta katika mkutano majengo,mahoo ward,Taveta

Address

Taveta

Telephone

+254787149293

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kosmos Connect posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kosmos Connect:

Shortcuts

Share