03/06/2022
ANTONIO RUDIGER
Rudiger atua Santiago Bernerbeu kwa kandarasi ndefu. Beki huyo mbeligiji amejiunga na Real Madrid akitokea Chelsea na ameelezea furaha yake kujiunga na miamba hao wa uhispania.