15/04/2023
Back then disco matanga was equal to the Mugithi shows we go sikuhizi...Now that I was a nyanake(youth), I had freedom of attending without Wasammy asking too much but lazima angejua nimeenda matanga wapi🤣😅😅😅.
I was among the top music leaders kwa kijiji, kwanza kigoooco, naye DeSagu na darama😂🤣🤣. Kwanza vile nilitengeneza guitar ya kibuyu, hata chifu alikuwa ananipea line up ya disco kwanmatanga zote😅😂😂😂. The problem was after kumaliza kigooco and other singers starts singing ,I had no one to dance with.
My omuwaifu hakuwa anapewa ruhusa🤣😅😅.So nikaita committee tujue how ningepata omuwaifu wa kuja kwa matanga😂🤣🤣. So tukaamua tutakuwa tunamwendea usiku, anatokea kwa dirisha alafu tunamrudisha asubuhi na mapema😂😂😂. Sa tulikuwa tunaenda kwa dirisha ya room yenye alikuwa analala, tunagongagonga mara mbili, anatoka tunaenda😅🤣.
There were no phones,( Phone Place hakuwa hizo siku) wifis, emails or the mordern CCTV cameras but there was the Kenyan Traditional cctvs😆wale wamama huraukia kwenu asubuhi wakati chai iko karibu kuiva na wanapenda dubiaaa(Chai bila sukari).
Si wakafikisha ripoti kwa akina Omuwaifu🤣😂😂😅😅. So mamake akajua to catch a thief, be a thief🤣😂😂. Hio siku tulienda k**a kawaida, nikanyemelea hadi kwa dirisha nikagonga gonga "kong kong kong".
Dillisha yes ilifunguliwa lakini badala omuwaifu atoke, niliskia nimeekelewa kofi pah😅🤣🤣🤣alafu nikamulikwa na torch, "Thamweri, kumbe nîwe ûtarekaga mwarî wakwa akome na thayû nikûmûtwara daci( Sammie, kumbe niwewe huku unasumbuanga mtoto wangu hawezi lala ukimpeleka disco).
Marite na Desagu waliona hivyo wakatoka mbio nikawafuata🤣😂😂😂. The following day, redcross, parliamentary committee other bi-partisan committees zilikuwa na kikao kwetu🤣🤣🤣. Wasammy akaelezewa akasema yeye hunipea tu ruhusa ya kwenda matanga mimi ni mtu mzima😅😂😂😂. 1st Time Wasammy kunitetea ...
Said Samidoh as he killed it with ............let's get back to work 😅😅😅