
19/09/2025
From Vihiga to Kiambu.
Lucy Sara Muhonja wameshikwa na DCI uko Kiambu kwa kazi ya kuteka watu nyara na kuitisha familia zao pesa ndio wawachiliwe.
My request to police,make sure mkorogo isipotee kabla afike kortini atakua mtu different na mwenye alishikwa😄