Alafu tulisema ni gari ndo hutoa sauti si lami cjui ka mnanipata wadau😁😁😁😁
05/11/2023
End just like that am back wacha niendelee kupost ujinga akili imekataa kufocus kwa mapenzi kabisaa😂😂😂😂
18/09/2023
Alafu Ukikuja kwangu maswali mingi sitaki😟we ingia na utulie😍oohh sijui hizi viti za AIC ulitoa wapi😟mbona mlango ya bedroom imeandikwa form 2 west🙈mara sijui ulitoa wapi blanketi ya kenyetta referral😟kidogo tena ulitoa wapi matres ya kapsabet district hospital😟😟...mbwa wewe😟😟unaamua kumtoa nje 😓tena unaskia mbona mlango ya choo imeandikwa Chief's office cdf project🙆sijui io chopping board imeandikwa Teresa mungaro sunrise 1814_sunset 1999 ulitoa wapi😟😂😂gunia ya waruu wewe😂😂mind your own Business 👂 Mind your business buanaaa😆😆😆😆😆
18/09/2023
Alafu k**a birth year yako inaanza na 19...usisahau kuvaa sweater. Baridi inamaliza wazee 😂😂
Follow me ooohh🤗🤗🤗
18/09/2023
Mambo ikienda fisuuuurrrr nitawaalika harusi😂😂😂lakini kuna huyu bestie wa mpermanent wangu eeeeyyy😆naona nikiwaachia sasa😆📌
17/09/2023
Ameniwacha juu tulikimbizwa na mbwa nikamshinda
😂😂😂😂i giff up🙌🙌🙌
09/09/2023
Nimepata sim card ya cuzo alikufanga 5yrs ago ,sijui nitex ex wake nimulize Guess who is back..😇😅😂😂😁
07/09/2023
Ringa na Mortuary utapelekwa ukikufa 🙄😇😇😇😇
06/09/2023
Watu wenye mnaekangwa kwa dp mnakuanga mmefanya nini exactly🤔wanngu anieke aachwe😂😂
06/09/2023
Nani ako na iyo song huimba"bora naenjoy purupupupurupupu anitumie"😒😒😒its agent 😇
06/09/2023
Unanimezea mate Inakunyonga unakufa.si uniambie tu🤣confess tu nikukatae yaishe😂😂😂
06/09/2023
Zoea kulike posts zangu mm sio ex wako🤗🤗🤗🤗umbwa😂😂😂😂
05/09/2023
Mm huezi nikunywa na hiyo filter na najua vile unakaa vibaya in real life😆😆😆meanwhile wacha nilale🤗🤗
05/09/2023
Wenye wanapiga simu usiku tuko kwa wazazi tafadhali
"Ukiniambia I love you nikuambie Glory to God" elewa tu😂😂🤣
04/09/2023
Sometimes kua romantic❤️ to your beb❣️😍mshike mkono mtazame usoni smile kidogo😁 n umwambie"beb unajua ww n umbwa😂😂
03/09/2023
Cjui leo niendeko kanisaa 🤗🤗🤗naona nikigeuka shetani yawah😆😆😆
02/09/2023
Nimeenda Recruitment ya KDF ....Nikaambiwa Miguu zangu Zote ni za Left💔🤣🤣🤣i quit🤗
02/09/2023
Na tufike mbinguni tupate kukula cuzo haikuwa makosa aky
😇😇😇au wacha tu 😂😂😂😂
Be the first to know and let us send you an email when Suzzy qwevoh posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.