28/10/2025
To; Quitos (Sherehe HQ)
Hi!,
Sijui kama mnajua sisi watu wa Kaunti tumepata mshahara leo 2pm 😆 😂 Nauliza tu? Mtatuletea msanii gani Saturday?
Kama sio diamond platnumz naenda XO chinku Hapo market 😆 .
Ahsante