Nartseh Media On YouTube

Nartseh Media On YouTube Official Page

tiktok.com/

Content creator❣

https://youtu.be/-ouJUD2O2mM 󱢏❣❣❣
(24)

𝗠𝗔𝗗𝗘𝗠 𝗦𝗜𝗝𝗨𝗜 𝗞𝗔 𝗠𝗨𝗠𝗘𝗡𝗢𝗧𝗜𝗖𝗘🤣🤣𝗨𝗞𝗜𝗭𝗢𝗘𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗗𝗢𝗛😅😅𝗡𝗬𝗔𝗦𝗛 𝗜𝗡𝗔𝗠𝗘𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔😂😂   📸
14/04/2025

𝗠𝗔𝗗𝗘𝗠 𝗦𝗜𝗝𝗨𝗜 𝗞𝗔 𝗠𝗨𝗠𝗘𝗡𝗢𝗧𝗜𝗖𝗘🤣🤣𝗨𝗞𝗜𝗭𝗢𝗘𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗗𝗢𝗛😅😅𝗡𝗬𝗔𝗦𝗛 𝗜𝗡𝗔𝗠𝗘𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔😂😂


📸

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi Moja😂😂
13/04/2025

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi Moja😂😂

Diamond Platnumz alifanikiwa kupata mtoto na Tanasha ambaye walitengana baadae akaingia kwenye mahusiano na Zuchu.Kati y...
11/04/2025

Diamond Platnumz alifanikiwa kupata mtoto na Tanasha ambaye walitengana baadae akaingia kwenye mahusiano na Zuchu.

Kati ya Tanasha na Zuchu yupi anakufurahisha zaidi..

Huyu anataka kuniacha na tulielewana tu vizury until death separate us 💔🥺Ama nimuue ndio death asifikirie sisi n waongo ...
13/03/2025

Huyu anataka kuniacha na tulielewana tu vizury until death separate us 💔🥺
Ama nimuue ndio death asifikirie sisi n waongo 🤣🤣

Bae aliniambia anacome na akadai nimpikie kuku🐓..kwa vile niko msoto singe_afford kuku🙆..nikakimbia 🏃kwa ule mzee anauza...
13/03/2025

Bae aliniambia anacome na akadai nimpikie kuku🐓..kwa vile niko msoto singe_afford kuku🙆..nikakimbia 🏃kwa ule mzee anauza pieces za kuku(spare parts) nikabuy pale Shama
Miguu
Mabawa
Drum sticks
Shingo
Kichwa.....yani nikishikanisha itakuwa kuku full😻.
Mimi na kiherehere yangu nikaweka kwa basin eti ndio bae akam apike😜.

Bae alifika nikaanza kujichocha eti vyenye imenisumbua nikiichinja hahahaa😆😆

Bae akiwa kitchen nimesikia amewika😳kukimbia kitchen ananiuliza kwani hiyo kuku ilikua na miguu tatu...ndio nimekumbuka sababu Mimi ni customer aliniongezea muguu Moja🙆!..nimejifanya simu inalia Bado niko inje nikifikiria nitamwambia aje🙆🙆. 😛😛

RIP 😪😭tumekua na wewe leo siamini hauyuko na sisi tena 😂 We loved you but our stomach loved you more 😭😭  fans
26/12/2024

RIP 😪😭tumekua na wewe leo siamini hauyuko na sisi tena 😂 We loved you but our stomach loved you more 😭😭 fans

20/04/2024

Follow 4 follow
Let's grow together
✨💫

20/04/2024

Leta page yako tuku Follow

Meanwhile ADD Nartseh 254

Meet King Tizian village boy and King Tizian TikTok Star.Pesa ni soap noma!
02/04/2024

Meet King Tizian village boy and King Tizian TikTok Star.Pesa ni soap noma!

Only great people will like this photo 💗
12/03/2024

Only great people will like this photo 💗

Harmonize na Marioo wanarudi tena studio kufanya Amapiano.Marioo akifurahia na kurudisha Shukrani kwa mashabiki wake kwe...
18/01/2024

Harmonize na Marioo wanarudi tena studio kufanya Amapiano.

Marioo akifurahia na kurudisha Shukrani kwa mashabiki wake kwenye moja ya post yake Instagram Harmonize alicomment kwa kuandika mashabiki wanataka kolabo ya Amapiano sasa.

Kwenye kolabo za nyimbo zao mbili walizofanya pamoja na Marioo amemshirikisha Harmonize zote.
Wakifanya kolabo nyingine ya Amapiano uenda ikawa ya Harmonize.

Amapiano ya Harmonize na Marioo dhidi ya Ile ya Diamond Platnumz ambayo inaachiwa karibuni... Nani atapiga kali zaidi?

"Naomba nikiri leo kuwa Mariam Ismail ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa k**e ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na ...
16/01/2024

"Naomba nikiri leo kuwa Mariam Ismail ni mmoja kati ya waigizaji watatu wa k**e ambao wakiwa set naduwaa kuwaangalia na nikipangwa nao najiandaa kwa muda mrefu. Hajawahi kupata tuzo masikini wala hana followers wengi, lakini kwangu ni mmoja wa waigizaji bora tulionao" ~JB, Muigizaji filamu Bongo.

"Mungu akupe afya njema uzidi kutupa raha, jamani sio Birthday yake, nimejisikia tu kumpa maua yake na nitakuwa na utaratibu huu wa kuwapa maua na wengine " ~JB.

“Rosecoco Yake Ni Yangu Pekee!”,Diamond Warns Men Against Trying To Seduce Zuchu
04/01/2024

“Rosecoco Yake Ni Yangu Pekee!”,Diamond Warns Men Against Trying To Seduce Zuchu

  Msanii   amefunguka kuwa kuna baadhi ya watu ndio walisababisha yeye kutosainiwa kwenye Lebo ya   Wasafi na story iko ...
01/01/2024


Msanii amefunguka kuwa kuna baadhi ya watu ndio walisababisha yeye kutosainiwa kwenye Lebo ya Wasafi na story iko hivi
"alienda katika studio za wasafi arekodi nyimbo ili Diamond aisikilize na kuona kipaji chake ili asajiliwe, lakini ikashindikana kwasababu pesa aliyolipa kurekodi wimbo ma-producer walikula na hawakumfikishia ujumbe wowote kuhusu ".


"Aslay Ataongeza Nguvu Kwenye Label" ~Mbosso Afunguka Kuwa Angefurahi Aslay Kujiunga Na WCB Wasafi."Mimi sio Diamond,mim...
31/12/2023

"Aslay Ataongeza Nguvu Kwenye Label" ~Mbosso Afunguka Kuwa Angefurahi Aslay Kujiunga Na WCB Wasafi.
"Mimi sio Diamond,mimi ni msanii ambaye natamani kuona wasanii wenzangu wakifanikiwa kwa hiyo akiwepo Wasafi,kwangu itakuwa furaha zaidi kwa sababu lebo inaongezeka nguvu na ni msanii mzuri mwenye talent kubwa" ~Mbosso asema.

Address

Upper Hill
161

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nartseh Media On YouTube posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nartseh Media On YouTube:

Share

Category