SNM Media

SNM Media Official Page

Trending news
(21)

Naona Comments Ety Toxic Lyrikali Should Curtain Raise Vybz Kartel πŸ˜… Vile Mmeangusha Wasanii Wa Bongo Wakikuja Kenya Wan...
04/03/2026

Naona Comments Ety Toxic Lyrikali Should Curtain Raise Vybz Kartel πŸ˜… Vile Mmeangusha Wasanii Wa Bongo Wakikuja Kenya Wanatuheshimu, Infact You Should Fanya Hio Kitu Kwa Huyu Vybz Kartel, Apande Na Toxic Lyrikali Same Stage.

Vybz Kartel akiimba Hiyo Mchongoano Yake, Pia Toxic Lyrikali Aturoge Na Backbencher, Aingie THUGNIFICENT, Tucheze Low-key Halafu Tutulie Na Long Story.

Warembo Wapewe Bud Flowers, Ikuwe Ni Euphoria, Halafu Tuweke Watiaji Kwa DUMPSITE Then Hapo Inakuwa Ni Bad Everyday πŸ˜…

Then Mali Fisa Na Bado Mfisadi Wa Shout Mboka niniiii MboKa Doba πŸ”₯

Kati ya mimi na chapati utachagua nini? Kumbuka ni mimi πŸ₯ΉπŸ₯°πŸ˜‚
04/03/2026

Kati ya mimi na chapati utachagua nini? Kumbuka ni mimi πŸ₯ΉπŸ₯°πŸ˜‚

Geoffrey Mosiria lectures self-proclaimed Apostle Dan Wema:~"Dan Wema k**a unasaidia mtu, patiana number yake asaidiwe d...
04/03/2026

Geoffrey Mosiria lectures self-proclaimed Apostle Dan Wema:~"Dan Wema k**a unasaidia mtu, patiana number yake asaidiwe direct. Hii mambo ya kupeana number yako, unachangiwa Million Tano unapatia mtu elfu mia moja sio jambo njema. Sisemi mnafanya vibaya kusaidia, lakini haifai ukule mingi kuliko yule unasaidia. Pia sisi tunaochanga tunahitaji number ya huyo mtu kufuatilia k**a kweli amesaidika."

Huyu ni Maxwell na ndio alikua amebeba wanafunzi hao watatu walipo kanyagwa na lori jana asubuhi wakienda shule Kaptik.M...
27/02/2026

Huyu ni Maxwell na ndio alikua amebeba wanafunzi hao watatu walipo kanyagwa na lori jana asubuhi wakienda shule Kaptik.Maxwel aliyekuwa dereva alifariki papo hapo na kufikia sasa wanafunzi wote watatu wameaga dunia 😭😭😭.Najua uko busy na mambo yako just take a Second Kusema Sorry kwa family zaoπŸ˜­πŸ’”

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi MojaπŸ˜‚πŸ˜‚
10/01/2026

Hii Gari Inatumikaga Kwa Kazi Mingi,Ebu Taja Kazi MojaπŸ˜‚πŸ˜‚

Pata data hata ukiwa na okoa na Bingwa Sokoni Services πŸ₯³
28/11/2025

Pata data hata ukiwa na okoa na Bingwa Sokoni Services πŸ₯³

Chukuwa sekunde moja umwambie Uhuru Kenyatta Quick Recovery πŸ₯²
01/11/2025

Chukuwa sekunde moja umwambie Uhuru Kenyatta Quick Recovery πŸ₯²

Huu ndio mwili wa raila odinga πŸ’”πŸ•Šk**a utaishi milele pita bila kuandika rip 😭😭😭
18/10/2025

Huu ndio mwili wa raila odinga πŸ’”πŸ•Š
k**a utaishi milele pita bila kuandika rip 😭😭😭

Sad News! Former Prime Minister Raila Odinga is dead πŸ’”
15/10/2025

Sad News! Former Prime Minister Raila Odinga is dead πŸ’”

Shalkido na mtoto wake πŸ’”πŸ˜­. Sai ataita nani Dadi😭😭, K**a uko na utu usipite bila RIPπŸ˜’πŸ˜­πŸ’”πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ finya follo ya blueπŸ™β˜οΈ
09/10/2025

Shalkido na mtoto wake πŸ’”πŸ˜­. Sai ataita nani Dadi😭😭, K**a uko na utu usipite bila RIPπŸ˜’πŸ˜­πŸ’”πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ finya follo ya blueπŸ™β˜οΈ

πŸ˜­πŸ’”Huzuni na zimanzi ,kwa familia Hawa  Marehemu waliofariki😭😭😭😭😭 katika ajali mbaya ya basi  wengine wameacha watoto wao...
12/08/2025

πŸ˜­πŸ’”Huzuni na zimanzi ,kwa familia Hawa Marehemu waliofariki😭😭😭😭😭 katika ajali mbaya ya basi wengine wameacha watoto wao wakibaki yatima πŸ˜₯πŸ˜₯ usipite bila POLE 😒 kwa familia zao πŸ˜’πŸ’”πŸ’”πŸ™ fans

Address

Upper Hill
161

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SNM Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SNM Media:

Share

Category