16/10/2025
Ismael uzao wakwanza wa Abraham ulibarikiwa kuliko uzao wa Isaac mzaliwa wa pili.Do you know why? Even when Hagai became the first single mother niwapi uliskia amepigia Abraham kuomba pesa ya upkeep?? Alipofika jangwani ismail akilia kiu mbona hakukumbuka kumpigia Abraham kumwambia mtoto analia kiu? Instead mungu aliskia kilio akatuma malaika akamletea maji mtoto akanywa.Machozi mwanamke unalia kwa haki na mwanao juyakuwachwa yakimguza mungu hao watoto hubarikiwa.Remember Abraham akujuwa mtoto alilelewa vipi lakini kwa leo angalia uzao wa ismael umebarikiwa mno kuliko wa,issack ngozi nyeusi ..Hukumu zamungu nza haki single mothers msipunguze maombi k**a ni haki ipo siku mungu atakumbuka watoto wenyu.(parents respect first borns also)