13/06/2026
Zama zile wanafunzi walikua wanatii na kuwaogopa walimu wao,siku hizi mazoeano yako sana! Ni wakati wa kujituliza ndani ya na Kijana Wa Jana Maxwell Ludenyo. Je kumbukumbu zako ni zipi? Na unawakilisha sehemu gani?
๐๐โ๏ธ0708798345
๐๐โ๏ธ0731673873
Listen Online๐๐
https://stream.zeno.fm/ztgk1vzogxauv