Isanga TV

Isanga TV An Online Society-based Television with the aim of appreciating the co-existence of nature and human

18/05/2022

Mgombea wa kiti cha ugavana cha Gatuzi la Taita Taveta kwa tiketi ya chama cha ODM bw. Thomas Mwakwida amtangaza rasmi mgombea mwenza Hope Mwanyuma hii leo.

🎥 netizen news

01/01/2022

Dakukundia Mwaka m'mbishi

Kusherekea kupoiye ichi kirusimasi😍
22/12/2021

Kusherekea kupoiye ichi kirusimasi😍

21/12/2021

Hapo jana, Katibu Mkuu wa Bodi ya Sanaa Gatuzi la Taita Taveta(TATASA), Mcheshi na Muimbaji Dokta Dambel, atoa shukrani kwa niaba ya Wasanii wenzake baada ya Workshop yao katika Mghange Nyika CDF hall

Wasanii wa Mwanda Mghange Ward wakishirikiana na Bodi ya Sanaa TATASA iliyowakilishwa na Katibu Mkuu Dokta Dambel na Mwe...
21/12/2021

Wasanii wa Mwanda Mghange Ward wakishirikiana na Bodi ya Sanaa TATASA iliyowakilishwa na Katibu Mkuu Dokta Dambel na Mweka Hazina Babaz Millionaire, pamoja na muaniaji wa kiti cha Wadi hiyo mama Jane Kulola Moto a.k.a Mrs Mwangemi waandaa workshop kuhusu maswala ya biashara ya Sanaa ikiongozwa na MCSK director eneo la Pwani John Katana wa Them Mushrooms pamoja na mwenzake Nixon Bahari.
Mkutano huo ambayo uliwafungua macho wasanii hao uliwapa hamasa kubwa na kuahidi kupandisha kiwango cha Sanaa yao.

Enjoy the holiday.Jiburudishe siku kuu.Poilwa ni ituku ibaha Muisanga.
12/12/2021

Enjoy the holiday.
Jiburudishe siku kuu.
Poilwa ni ituku ibaha Muisanga.

18/11/2021

Dizoyagha kafwaane.
Deghia anyaha.
We shall resume soon.
Keep it here.

25/11/2020

Cycling is fun. How much more fulfilling can it be when you cycle while supporting a noble course? Don't miss this opportunity.

An exciting purposeful journey has begun from Nairobi to Malindi by Bicycle to raise funds for a   to give transitional ...
22/11/2020

An exciting purposeful journey has begun from Nairobi to Malindi by Bicycle to raise funds for a to give transitional housing for At-risk male teens who need more time for healing and reconciliation. Isanga TV will keep you up to speed on the proceedings within Taita Taveta county.
To support the Cause, You can participate in the Cycling or support in kind along our route. The aim is to raise KES 500,000 to secure the house rent for a year and an additional 2M to get furniture and equipment as well as run the program with the boys and young men while setting up a sustainable business.
Kindly send your donations through MPESA :
PAYBILL: 891300
ACCOUNT: LIFESONG
Visit here: https://lifesongkenya.org/half-way-cycle-2020/ for more information.
Feel free to share with your friends or refer us to people and Organizations that are willing to partner in various ways to support the boy child.
Join Isanga TV in standing with the boy child.
Asanteni.

Address

Taita Taveta
Voi
254

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Isanga TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share