
14/09/2025
Unakaribishwa kwa kambi ya kimatibabu maarufu k**a “Inter-Iniversity Medical Missionary Convention” itakayofanyika katika chuo kikuu cha kibabii kuanzia leo jumapili 14th hadi jumamosi 20th september 2025.
Kupimwa na uchunguzi wa kiafya wa mwili mzima ni bure (hutozwi chochote) na iwapo utahitaji matibabu itakua kwa bei nafuu sana.
Kituo kinafunguliwa 8am-4pm.
Baadhi ya vipimo vitakavyofanyika ni k**a ilivyoorodheshwa kwenye picha;