ommy.4k

ommy.4k Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ommy.4k, Video Creator, Mandalay.

15/01/2026

Mimi sio Mungu Hahahha Mungu wako Ndo Mungu wangu Mimi

13/01/2026

Don’t west your time

12/01/2026

hahahaha Thanks Bru for teach us listen 👂

04/01/2026

“I knew you could do it, but seeing it happen is even better. You’re a star.” keep it bro 6 park is coming men

“Badala ya kutumia bando kuchora picha za watu, tumia bando kuchora ramani ya maisha yako.”
02/01/2026

“Badala ya kutumia bando kuchora picha za watu, tumia bando kuchora ramani ya maisha yako.”

01/01/2026

“CAMERA MAN FIRST! 😎📸

Welcome to Africa ! 🌍 We doing it big, we doing it loud! Let’s Goooo! 🔥🦁

“Kila hatua ina maana, hasa unapokuwa na mtu anayeona maono yako. Hapa tukiandaa mambo makubwa na Producer mkubwa. ⚡️ St...
29/12/2025

“Kila hatua ina maana, hasa unapokuwa na mtu anayeona maono yako. Hapa tukiandaa mambo makubwa na Producer mkubwa. ⚡️ Stay tuned! ”

“K**a unatumia saa 3 kuchaji simu yako, tumia angalau saa 1 kuchaji akili yako kwa kusoma au kujifunza kitu kipya.”
19/12/2025

“K**a unatumia saa 3 kuchaji simu yako, tumia angalau saa 1 kuchaji akili yako kwa kusoma au kujifunza kitu kipya.”

Mambo…!!“Picha hii siyo tu kumbukumbu, bali ni ushuhuda hai wa safari ndefu ya urafiki, ndoto, na mapambano. Kutoka siku...
17/12/2025

Mambo…!!

“Picha hii siyo tu kumbukumbu, bali ni ushuhuda hai wa safari ndefu ya urafiki, ndoto, na mapambano.

Kutoka siku za nyuma tulizopitia changamoto nyingi tukiwa pamoja, mpaka leo hii nikimshuhudia swahiba wangu akiwa amesimama k**a MSANII MKUBWA na mwenye mafanikio, moyo wangu unajawa na furaha na fahari isiyo kifani.

Huu uwe ujumbe na hamasa kwa vijana wote huko nje: Safari ya maisha haijawahi kuwa rahisi. Imejaa vikwazo, kukatishwa tamaa, na wakati mwingine giza nene. Lakini siri kubwa ya ushindi ni KUTOKATA TAMAA. Haijalishi unapitia magumu kiasi gani sasa hivi, amini katika kipaji chako, weka bidii, kuwa na nidhamu, na zaidi ya yote, mpe Mungu nafasi.

K**a sisi tuliweza kutoka tulikotoka na kufika hapa tulipo leo, basi nina imani kubwa kwamba hata wewe unayesoma hapa unaweza kufikia ndoto zako kubwa. Usiruhusu hali yako ya sasa ikufanye ujione hufai. Simama imara, pambana kiume, na amini kwamba wakati wako wa kung’aa unakuja.

Endelea kusonga mbele, usikate tamaa! 💪🏾✨🙏🏾”

Godbless Every body who is work hard out there

Wakijipata Hawana faida na sisi
13/12/2025

Wakijipata Hawana faida na sisi

Address

Mandalay

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ommy.4k posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category