01/06/2026
π
πππππ ππππ πππππππ
Timu zilizo saliya ndani ya Bonanza hii zinapashwa kutambua jitiada na nguvu ambazo kamati la Fikiri, Dzaleka Sports Association pamoja na ulinzi uliotumika. Bonanza hii haija omba pesa ili timu zishiriki ndani. Kwahiyo ingekuwa vyema timu nazo ziburudishe watu ipasavyo.
Kila timu ilio tolewa ilikubali na kuheshimu haki za pande zote na vile vile timu zilizo baki zili furahi. Hii ikuwe fursa kubwa ya kujiandaa na nusu faili wiki hii.
Ikumbukwe ya kwamba ni timu mbili ndio zitacheza fainali na mmoja atabeba kombe (kunyanyuwa kwapa kwa Furaha). Mashabiki wa Dzaleka na vijiji vyote kando watachukizwa kusikia neno HATUCHEZI baada yaku dundwa kwenye hatua hii ya nusu fainali. Kujiandaa vizuri kutakupa fursa yakucheza saa tisa kwa maana ya fainali. Hivyo hivyo ubovu au makosa ya kiufundi yaweza kukufanya kuwa fagilie wenzio uwanja kwa maana ya kucheza midaa ya chakula cha mchana (saa sita mchana) siku ya fainali π.
K**a timu ilio fuzu, inawalazimu kujiandaa vizuri na endapo munashindwa kufika fainali. Mashabiki zenu wako tayari kuwatizama mdaa tajwa hapo juu.
TUKUTANE WIKENDI HII
Chichewa translation in the comment section