Tsl entertainment

Tsl entertainment Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tsl entertainment, Film/Television studio, Dowa, Zomba.

04/09/2024
 Mtu mbaya kwakeli sikuwa na tengemeya k**a ili kinaweza kutokeya kwako kijana wangu wewe ni moja ya watu wanyumbani uli...
01/03/2024



Mtu mbaya kwakeli sikuwa na tengemeya k**a ili kinaweza kutokeya kwako kijana wangu wewe ni moja ya watu wanyumbani uliye kuwa na aminika sana apo malawi ila imevuja brand kaka kwa machungu makubwa sana boss yetu ivi unafikiriya kuijenga vijana wako wa VMP kwa maneno gani mupaka kufikiya kutembeya na mke wa photography wako daaaah inaumiza sana unajuwa kijana siyo sawa

Iyo ni moja ya branch kutoka kwenye mikono ya tsl entertainment tunapambana na watu wote sisi kwetu Hulu jo tulipo rudil...
28/02/2024

Iyo ni moja ya branch kutoka kwenye mikono ya tsl entertainment tunapambana na watu wote sisi kwetu Hulu jo tulipo rudiliya



Happy birthday to you my boss mungu jo anajuwa nini anapanga pale mbele ila sisi kam sisi tunaamini na kukuombeya kwake ...
25/02/2024

Happy birthday to you my boss mungu jo anajuwa nini anapanga pale mbele ila sisi kam sisi tunaamini na kukuombeya kwake myaka zaidi ya 1000 mbele ili uzidishe kukuza vipaji na akili za vijana apo mbele mwali wetu ww ni wautofauti sana na wale wanao jidayi ila mungu akupe maisha marefu sana ❤❤❤❤❤❤😍😍😍😍❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😍❤❤❤❤❤❤❤

 Kiongozi mwenye jeuri yake SIMBA LAMBERT Léo katika kipindi cha UMBEYA UPO ameamuwa kuweka wazi n'a kusema ukweli,Swali...
25/08/2023



Kiongozi mwenye jeuri yake SIMBA LAMBERT Léo katika kipindi cha UMBEYA UPO ameamuwa kuweka wazi n'a kusema ukweli,
Swali:nikwanini DUNIA SERIES ina Ganda kwenye ÉPISODE YA 3
2.kwasasa toka dunia ulituambiya unatengeneza 4-10 mbona ata iyo moja atujaiyona
3.unakwama wapi mupaka unashindwa kuhendeleya n'a mazowezi
4.movie yako DREAM kutoka ya INNE(4) Jo chanzo kubwa ya wewe kuwa kimya wala kuna mengine
5.mtaani inasemekana ww saizi umeachana n'a mazowe n'a kweli tumetembeleya sehemu yako ya kazi tunakuta akuna mazowezi tena
6.wale Wale wasanii wako wana fanya kazi chini ya company!???...iyo ni yetu
7.unasema bila waoo unaendaa wakati movie zote zime lala
Iyo jo ilikuwa kidogo ya maswali yetu unajuwa jibu ilikuwa Nini👇👇👇👇👇👇👇😂😂😛😛😀🤔

1.kwanza ndunia mupaka sasa ipo kwenye ukaguzi mkubwa n'a ma editor mahana sitaki kufanya kazi za la samani aliye nichelewesha ni yule anaye tengeneza BEAT TRACK ya dunia
2.ni kweli nilikuwa location Na épisode 7 Ila siyo kuwa nilikuwa uko jo nilizimaliza wala zote zitapanda lutandaoni kwa limoja apana kila kazi itapanda kwa mdaa wake
3.sijakwama popote Ila mimi ni kiongozi mwenye kuhelewa Nini nafanya
4.mimi kwanza sijaongeya kuwa nimeonewa Ila k**a jogisi wanasema poa,silewi sifa mimi
5.kweli sina zowezi Siku zote izi Niko kiongozi wa vitu vingi lazima ni rizishe kila kitengo
6.apa nyuma nilitangaza sina wasanii wanao zidi Tano wewe uko ulienda ulisikiyaa jina la TSL.,SASA inamahna ni nyingine
7.bila waoo naweza mahana kazi zipo jikoni tu k**a


Zote soon zitakuwa kwenye meza n'a apa umenikuta Niko n'a wekwa Sawa niingiye onsett sina shobo ya wasanii wengi wasiyo juwa faida ya kazi yao

Jo mwisho k**a mwanzo wa mazungumuzo yetu,naenda kunywa uji wamiyogo kwa mama🤔🤔🤔🤔🤔

maoni yako nimuhimu sana zaidi ya kila kitu pale tu Wale vijana wanapamabana ili wakimbize lile jina la umasiki Na wizi ...
11/08/2023

maoni yako nimuhimu sana zaidi ya kila kitu pale tu Wale vijana wanapamabana ili wakimbize lile jina la umasiki Na wizi katika familia Zao jomapale kunaibuka lawama nyingi

maoni yako nimuhimu sana zaidi ya kila kitu pale tu Wale vijana wanapamabana ili wakimbize lile jina la umasiki Na wizi katika familia Zao jomapale kunaibuka...

Twende kazi wangapi wana mufahamu uyu chali yetu apo kwenye picha k**a una mufahamu usikose kutuambiya kazi yake Na jina...
23/07/2023

Twende kazi wangapi wana mufahamu uyu chali yetu apo kwenye picha k**a una mufahamu usikose kutuambiya kazi yake Na jina lake

Naenda kunywa uji wamiyogo🏃🏃🏃🏃🏃

23/07/2023

Happy sunday peoples

Director mukuringeziWa Dreams films kutoka kalemi kwenye Jimbo la Tanganyika.Ameamuwa kujiacha wazi kiundani zaidi n'a k...
18/07/2023

Director mukuringezi

Wa Dreams films kutoka kalemi kwenye Jimbo la Tanganyika.
Ameamuwa kujiacha wazi kiundani zaidi n'a kusema kimya kyake siyo sababu alikosa chakuongeya Ila alikuwa Na fikiriya kipi ahanze nakyo mahana asije akaonekana amewanga muchana .

Anaitwa MEDDY KAMILI saizi ameandika movie ambayo inasumbuwq sana mujini kalemi inaenda kwa jina la UBINADAMU,Nasisi tunayo maswali k**a ya kwako Ila atuna jisi tumeamuwa kuangaliya ivo tu mupaka pale atajiamuwa kuongeya mwenyewe ukweli wake peke yake tukumbuke kuwa uyu ni faida n'a mzaliwa wa apa nyumbani UVIRA ni jambo makubwa naombeya vijana wetu wazidi kusonga mbele kila mdaa Big up sana kijan wetu

Apetunga n'a kuiyongoza mwenyewe iyo story

 Producteur wa TSL ENTERTAINMENT alituma picha iyo apo nakusema iko Bukavu kwasasa anafanya kazi ajuwi atakujalini Ila a...
18/07/2023



Producteur wa TSL ENTERTAINMENT alituma picha iyo apo nakusema iko Bukavu kwasasa anafanya kazi ajuwi atakujalini Ila anapambanq ili nembo ifike sehemu atujuwi ameongeya ivo kwanini bahazi ya picha zilimuonesha yuko busy n'a kazi ya Ku shoot film mujini Bukavu ,atukujuwa ni kundi gani wala company gani anafanya nayo kazi saizi mwisho wamaneno yake âme andika THANKS MKUBWA atujaelewa ni kwanini n'a ninani ana andikiya ivo

Address

Dowa
Zomba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tsl entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share