Wakiswahili

Wakiswahili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wakiswahili, Digital creator, Ijebu Ode.
(3)

Your Guide to Swahili Culture & Language
about sharing the beauty of Swahili stories, music, and cuisine | Language enthusiast | Explorer of cultures
Follow my journey and discover the richness of Swahili life! |DM for collaborations & inquiries

Mwindaji hodari haelezi kila kitu alicho kiona msituni
25/07/2025

Mwindaji hodari haelezi kila kitu alicho kiona msituni

24/07/2025
Some where in our street hood
22/07/2025

Some where in our street hood

Haya tuone bongo Za Wana Tabora Sasa?Nasoma Comment
16/07/2025

Haya tuone bongo Za Wana Tabora Sasa?

Nasoma Comment

16/07/2025

*Muongozo wa Kuanza Remote Jobs (Kazi za Mtandaoni):*

*1. Tambua Uwezo Wako (Skills):*
Anza kwa kutambua ulichonacho — unaweza kuwa na ujuzi wa:
- Kuandika (writing, copywriting)
- Tafsiri
- Social media
- Data entry
- Graphic design
- Customer support
- Coding / tech skills
(*Hata k**a huna skill bado, unaweza kujifunza kwa bure kupitia YouTube au platforms k**a Coursera, Alison, na Skillshare.*)

*2. Tengeneza Profile:*
Fungua account kwenye tovuti hizi:
- *Upwork*
- *Fiverr*
- *Freelancer*
- *PeoplePerHour*
- *RemoteOK*
- *FlexJobs*
- *Toptal* (kwa professionals)

*3. Tengeneza CV na Portfolio:*
- Eleza ulichosoma, skills zako na kazi ulizowahi kufanya (hata k**a ni projects zako binafsi).
- Tumia Canva kuandaa CV nzuri na pia kufanyia samples zako.

*4. Tafuta Kazi na Tuma Maombi:*
- Tumia keywords k**a “remote jobs,” “entry level remote work,” “freelance work” unapoprepare maombi yako.

*5. Kuwa na vifaa muhimu:*
- Laptop/computer
- Internet nzuri
- Email ya kazi
- Zoom/Skype account kwa interviews

*6. Jiunge na channel yangu hapa kwa fursa za kazi na mafunzo zaidi:*
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6D02zKGGG9wKjj821d

*Usingoje hadi uwe mtaalamu, anza sasa na jifunze ukiwa njiani!*



@

16/07/2025

🔥 *Motisha ya Leo kwa Wewe unayetaka Maisha Yabadilike* 🔥

*“Kama una smartphone na bundles, basi una ofisi mkononi mwako. Kitu pekee kinachokuzuia ni kutokujua pa kuanzia!”*

Usikubali maisha yakusukume hovyo — anza leo kujifunza *mbinu rahisi za kuingiza kipato mtandaoni bila hata kuwa na mtaji*.

🎯 Hii ni nafasi ya kipekee kwa:
- 🎓 Wanafunzi
- 💼 Waliokosa ajira
- 💡 Wenye ndoto kubwa lakini hawana mtaji
- 🤝 Wanaotaka kipato cha ziada

👉 *Jiunge sasa kwenye Channel ya Biashara Mtandao*
https://whatsapp.com/channel/0029Vb6D02zKGGG9wKjj821d

_Huko utajifunza michongo halali ya kutengeneza hela online._
💰📱

W.A.K.I.S.W.A.H.I.L.I“Huwezi kubadilisha upepo, lakini unaweza kurekebisha meli yako.”
14/07/2025

W.A.K.I.S.W.A.H.I.L.I
“Huwezi kubadilisha upepo,
lakini unaweza kurekebisha meli yako.”

MswahiLi
13/07/2025

MswahiLi

Kazi na bata
11/07/2025

Kazi na bata

swahiLi
11/07/2025

swahiLi

Address

Ijebu Ode

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wakiswahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wakiswahili:

Share