Nesto Shayo

Nesto Shayo Contents Creator | Entertainment | Ambassador
(2)

  || 🚨🚨 Klabu ya Young Africans imeulizia upatikanaji wa golikipa wa Kaizer Chiefs na timu ya taifa la Rwanda Fiacre Ntw...
17/07/2025

|| 🚨🚨 Klabu ya Young Africans imeulizia upatikanaji wa golikipa wa Kaizer Chiefs na timu ya taifa la Rwanda Fiacre Ntwari (25).

Bado hakuna ofa ikiyotumwa ilihali golikipa huuo yuko Pre-season kwaajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Follow

Kiungo wa Mpira,Dokta Khalid Aucho hatokua sehemu ya kikosi cha Yanga kwa msimu ujao baada ya makubaliano ya pande zote ...
16/07/2025

Kiungo wa Mpira,Dokta Khalid Aucho hatokua sehemu ya kikosi cha Yanga kwa msimu ujao baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Kwa mujibu wa mwakilishi wa mchezaji  ni kwamba Khalid Aucho amepata ofa nzuri kutoka Vietnam ambayo itampatia Mkataba wa miaka miwili ,signing fee ya takribani Bilioni moja na mshahara wa takribani Milioni 40 kwa mwezi.

Upande wa Yanga walimpatia Ofa ya Mkataba wa Mwaka mmoja ambao ungemuwezesha kupata takribani Milioni 100 na mshahara unaokadiriwa Milioni 19 kwa mwezi.

Kikwazo ni kuwa Aucho aliarifiwa na Uongozi wa Yanga kuwa hatopata nafasi kubwa ya kucheza mara kwa mara katika kikosi chao kutokana na ujio wa mchezaji mpya katika eneo la kiungo!

Yanga wamechukua tahadhali hiyo kwakuwa nyota huyo amekua akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara lakini pia umri umezidi kusogea zaidi.

Kwa kifupi Aucho ameona bora nusu shari kuliko shari kamili.

Follow

  || 🚨🚨 Klabu ya Young Africans inamfuatilia kwa karibu winga wa Klabu ya Singida Black Stars Edmund John (22) kwaajili ...
16/07/2025

|| 🚨🚨 Klabu ya Young Africans inamfuatilia kwa karibu winga wa Klabu ya Singida Black Stars Edmund John (22) kwaajili ya kumsajili kuelekea msimu ujao. 🇹🇿🔰🤝

Mabingwa hao watetezi wa Kombe la Ligi kuu ya NBC wameulizia huduma yake ila bado hawajatuma ofa Rasmi.

Follow

  || 🇩🇿💄 Klabu ya MC Algeria chini ya Kocha Mkuu Rulan Mokwena imeonyesha nia ya Kumsajili mchezaji wa Klabu ya Simba Ki...
16/07/2025

|| 🇩🇿💄 Klabu ya MC Algeria chini ya Kocha Mkuu Rulan Mokwena imeonyesha nia ya Kumsajili mchezaji wa Klabu ya Simba Kibu Denis Prosper (26) kwaajili ya kuongeza nguvu kikosi chao kuelekea msimu ujao.

Kibu Denis bado anamkataba na Simba ila bado anandoto ya kucheza nje ya nchi akipendelea zaidi Barani Ulaya

Bado hakuna Ofa iliyotumwa lakini wameulizi upatikanaji wake ikiwa ni siku chache tuu baada ya Rulan Mokwena kitambulishwa.

Follow

  || 🔰 Kocha Roman Folz  (35) Mfaransa 🇫🇷 ni kwa muda sasa yuko huru mara baada ya Kuachana na Klabu ya Olympic Akpdou a...
16/07/2025

|| 🔰 Kocha Roman Folz (35) Mfaransa 🇫🇷 ni kwa muda sasa yuko huru mara baada ya Kuachana na Klabu ya Olympic Akpdou aliyoisaidia kutoshuka daraja msimu uliopita.

Kocha huyu ni mgeni lakini analijua vyema soka la Afrika kwani amefundisha vilabu mbali mbali vikubwa lakini akiwa k**a kocha msaidizi na nyingine k**a kocha mkuu.

Alipita vilabu k**a Pryamid FC (Ass), Mamelodi Sundowns (Ass), Uganda Cranes (Ass).

Marumo Gallants, Amazulu FC na Horoya alipita akiwa k**a kocha Mkuu.

Wacha tuone kitakachotokea "HAPA NDIPO" soon!

Nitakupa UPDATES.

Follow

 || 🚨 🌻 K**a wewe ni shabiki wa Klabu ya Singida Black Stars ni muda sasa wa kukaa na kufurahia kile mbacho viongozi wen...
16/07/2025

|| 🚨 🌻 K**a wewe ni shabiki wa Klabu ya Singida Black Stars ni muda sasa wa kukaa na kufurahia kile mbacho viongozi wenu wanakifanya ndani ya Klabu. 🔵⭐🇹🇿🤝.

Chini ya mlezi wa timu hiyo Waziri wa fedha Dr. Mwigulu Nchemba ( ) Klabu hiyo imepanga kufanya maboresho makubwa ndani ya kikosi ambacho kinasimamiwa na Miguel Gamondi.

Kwanza ni kuhakikisha wachezaji wote bora waliokuwa nao msimu uliopita wanawabakisha then wayatazame mapendekezo ya Kocha Miguel Gamondi.

Black Stars inajiandaa na michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika na itatumia viwanja vya Benjamin Mkapa na Azam Complex chamanzi k**a viwanja vyao vya nyumbani. 🇹🇿🌻

Mshabiki na wapenzi wafuasi wangu! Kuanzia kesho nitatoa fursa kwa mashabiki kushare maoni ya vilabu vyao kwanjia ya vid...
15/07/2025

Mshabiki na wapenzi wafuasi wangu! Kuanzia kesho nitatoa fursa kwa mashabiki kushare maoni ya vilabu vyao kwanjia ya video.

Kuna mienendo ya usajili, uongozi wa Klabu na mambo mengine!

NITASHIRIKIJE?

Kwanza kabisa chukua Video yenye ubora isiyopungua sekunde 45 au kuzidi dakika 1:30.

Pili hakikisha kabla ya kuanza kusema unachokitaka utaje majina yako, na Klabu unayoshabikia kisha utoe maoni yako.

Tatu! Hakikisha umechukua video mazingira yasiona kelele ili video iweze kuwa na sauti nzuri

Nne! Background ya video iwe ya Rangi moja, unaweza kutafuta ukuta mzuri kusudi tuu video yako ionekane vizuri!.

Kisha baada ya hapo nitumie kwa njia ya WhatsApp || 0655177370

Andika chochote kuhusu hii PICHAFollow
15/07/2025

Andika chochote kuhusu hii PICHA

Follow

  🚨🚨|| Klabu ya Simba imefikia makubaliano na Kiungo wa Coastal Union Hussein Daudi Semfuko (21) kwaajili ya kujiunga na...
15/07/2025

🚨🚨|| Klabu ya Simba imefikia makubaliano na Kiungo wa Coastal Union Hussein Daudi Semfuko (21) kwaajili ya kujiunga nao msimu ujao. 🇹🇿🔜🔴⚪

Semfuko amesaini mkataba wa miaka miwili na mnyama kuchukua nafasi ya Omary Omary aliyetimkia katika klabu ya mashujaa kwa mkopo kuelekea msimu ujao.

What's going on! Tunasubiri uzinduzi wa jezi mpya na kuanza kitambulishwa mastaa wapya Simba.

*HAPA NDIPO* soon!

Follow

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC,   amethibitisha kuwa kiungo mpya aliyesajiliwa na Simba ana ubora unaofanan...
15/07/2025

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, amethibitisha kuwa kiungo mpya aliyesajiliwa na Simba ana ubora unaofanana na Moisés Caicedo wa Chelsea.

“Yule Caicedo wa Chelsea anafanana ubora na kiungo wetu mpya tuliyemsajili... msimu uanze tu,” alisema Ahmed Ally. Follow

  || 🚨🚨 Klabu ya USM Alger inamhitaji kwa udi na uvumba beki wa Simba SC  Che Malone Fondoh (26) kutoka Cameroon kueleke...
15/07/2025

|| 🚨🚨 Klabu ya USM Alger inamhitaji kwa udi na uvumba beki wa Simba SC Che Malone Fondoh (26) kutoka Cameroon kuelekea msimu ujao katika dirisha hili la usajili. 🇨🇲 & 🇩🇿 🤝

🔜 Baada ya kuwa tumikia Simba kwa misimu miwili akitokea katika Klabu ya Coton Sport Garoua, sasa huenda akatimkia zake Algeria.

"HAPA NDIPO" Soon

Follow

  🚨🚨|| Ujumbe wa beki wa zamani wa Simba Sc ,Valentino Nouma kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr"Nahodha mnyenyekevu sana k**a...
15/07/2025

🚨🚨|| Ujumbe wa beki wa zamani wa Simba Sc ,Valentino Nouma kwa Mohamed Hussein Zimbwe Jr

"Nahodha mnyenyekevu sana k**a huyu tangu mwanzo, pamoja na kwamba tulikuwa tunapigania nafasi sehemu moja lakini siku zote tuliheshimiana na ilikua ni furaha kucheza na wewe."

"Nakutakia kila la kheri katika hatma yako kwenye maisha mengine kwenye makazi mapya kaka yangu, asante kwa yote"Valentine Nouma beki wa zamani wa Simba.

Follow

Address


Telephone

+255655177370

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nesto Shayo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nesto Shayo:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share