Yangafamily1935

Yangafamily1935 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yangafamily1935, Digital creator, Kosti.

"Karibu kwenye familia ya Wananchi! ๐Ÿ’š๐Ÿ’› Habari za Yanga SC, vipande vya mechi, na matukio ya kipekee kwa mashabiki wa kweli.
"Follow kwa updates za kipekee za klabu yetu pendwa!"

Tulike picha ya captain NONDO๐Ÿ’š๐Ÿ’›JeJeremy Johnny
09/11/2024

Tulike picha ya captain NONDO๐Ÿ’š๐Ÿ’›JeJeremy Johnny

Kumekuwa na jitihada za kujaribu kumshawishi umma kuwa kocha wetu mpendwa, Miguel Gamondi, amekosa ufanisi kutokana na m...
08/11/2024

Kumekuwa na jitihada za kujaribu kumshawishi umma kuwa kocha wetu mpendwa, Miguel Gamondi, amekosa ufanisi kutokana na matokeo ya michezo miwili iliyopita. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwa undani sababu halisi zilizochangia matokeo hayo, badala ya kulenga lawama kwake binafsi.

Katika mchezo dhidi ya Azam, timu yetu ilicheza huku ikiwa pungufu, hali ambayo ilihitaji jitihada kubwa kwa wachezaji waliokuwepo uwanjani. Aidha, kwenye mchezo wa Tabora, tulikosa mabeki wote wa kikosi cha kwanza kutokana na majeruhi pamoja na kadi nyekundu iliyomuweka Bacca nje ya mchezo. Hizi ni changamoto za kawaida katika soka, lakini zikiwa na athari kubwa kwa matokeo ya timu.

Kwa hiyo, badala ya kuangalia matokeo kwa mtazamo wa lawama kwa kocha, tunapaswa kuona namna ambavyo timu inapambana kukabiliana na changamoto hizi, na kuthamini juhudi za kocha Gamondi katika kutengeneza timu thabiti licha ya vikwazo.

Tuendelee kumuunga mkono kocha na timu kwa jumla, tukiamini kuwa mafanikio ni safari yenye changamoto nyingi, na sio kosa la mtu mmoja. Johnny

Kukosa penalty nisehemu ya mchezo,tuko pamoja nawewe STEPHEN AZIZ ๐Ÿ’š๐Ÿ’›
08/11/2024

Kukosa penalty nisehemu ya mchezo,tuko pamoja nawewe STEPHEN AZIZ ๐Ÿ’š๐Ÿ’›

Tumekumisi bacca๐Ÿ’š๐Ÿ’›
08/11/2024

Tumekumisi bacca๐Ÿ’š๐Ÿ’›

Timu yetu๐Ÿ’š๐Ÿ’›
08/11/2024

Timu yetu๐Ÿ’š๐Ÿ’›

08/11/2024
Kocha Miguel Gamondi amesema kuwa wamefanya kila jitihada kurudisha timu kwenye ubora wake. Amebainisha kuwa wamefanya t...
07/11/2024

Kocha Miguel Gamondi amesema kuwa wamefanya kila jitihada kurudisha timu kwenye ubora wake. Amebainisha kuwa wamefanya tathmini ya kina ili kuelewa ubora wa mpinzani wao na sasa wanachotazamia ni kutekeleza kazi hiyo uwanjani leo. Lengo kuu, alisema, ni kubaki kileleni mwa ligi na kufikia malengo waliyojiwekea kwa msimu huu.

Miguel gamond
07/11/2024

Miguel gamond

TUNAANZA UPYAAA.
06/11/2024

TUNAANZA UPYAAA.

HAPPY BIRTHDAY 5G๐ŸŽ‚Hivi sasa ni mwaka toka tusimike mnara wa 5G kwa mkapa.
05/11/2024

HAPPY BIRTHDAY 5G๐ŸŽ‚
Hivi sasa ni mwaka toka tusimike mnara wa 5G kwa mkapa.

Address

Kosti

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yangafamily1935 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share