DW24 Swahili

DW24 Swahili Pata Habari za uhakika Kitaifa na Kimataifa ,Michezo na zinginezo hapahapa DW24 Swahili, UK

14/04/2024

Waziri Mkuu akimbia.soma zaidi kwenye tovuti kwa lugha zote.
powered by

12/04/2024

Hatari huko Palestine

02/04/2024

Julius Kambarage Nyerere alizaliwa tarehe 13 Aprili, 1922 katika Kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, Tanzania. Alikuwa mmoja wa watoto 26 wa Chifu wa kabila la Wazanaki, Mzee Nyerere Burito.

Alipokuwa mtoto, Nyerere alichunga mifugo ya baba yake; alipofikisha umri wa miaka 12 alianza Shule akitembea kilomita 30 hadi Musoma.

Baada ya kumaliza Shule ya Msingi aliendelea kusoma Shule ya Wamisionari Wakatoliki huko Tabora.

Itazame makala hii kwa Urefu zaidi kupitia YouTube channel ya

01/04/2024

imekuwa siku mbaya Kwa bondia wa Tanzania almaarufu Dullah Mbabe Baada ya kupokea kichapo cha KO katika raundi ya nne mbele ya Mwingereza Callum Simpson. Pambano hilo alilocheza Uingereza usiku wa March 31,2024

Pambano lilikuwa la raundi 10 na limemalizika kwa kichapo cha aibu kwa Dulla Mbabe

28/03/2024

Picha Iliyomuonesha P Diddy Akizungumza Na Maafisa Usalama Walipoenda Kuik**ata Ndege Yake Binafsi akiwa na ambaye anatajwa k**a msambazaji wa Madawa Ya Kulevya Ya Diddy.

Tukio Hili Lilitokea Katika Uwanja Wa Ndege Wa Opa-Locka Executive (Miami) Wakati Diddy Na Kijana Huyo Wakijiandaa Kusafiri Na Ndege Binafsi (Private Jet).

Kwa mujibu wa Maafisa Wa Mambo Ya Ndani Na Askari Wa Kulinda Mipaka wanadai Kuwa walikuta Dawa Za kulevya Aina Ya (Co***ne Na Ma*****na) kwenye begi la kusafiria la na walimuweka chini ya ulinzi kisha badae kumuachia Kwa Dhamana Ya Tsh Milioni 6+ Na Wamemtaka (Brendan Paul) Afike Mahak**ani April 24 Mwaka Huu

Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya

27/03/2024

Vita ni mapambano baina ya nchi, mataifa au angalau vikundi vikubwa vya watu yanayoendeshwa kwa nguvu ya silaha. Katika vita kuna pande mbili au zaidi. Asili ya vita ilikuwa mapambano kwa silaha kati ya makabila au vijiji mbalimbali. Baada ya kutokea kwa madola ilikuwa zaidi serikali au watawala wa madola walioamua juu ya vita.

Una maoni Gani kuhusu video hii?

27/03/2024

WANAJESHI WA CHINA WAFANYA MAZOEZI KARIBU NA TAIWANI.

Umeisikia taarifa hii ya kushangaza wengi, Baada ya video clip iliyosambaa kwenye mitandao ya mbalimbali ya kijamii ikionesha wanajeshi wa Taifa la China wakifanya mazoezi ya kujiandaa na mashambulizi na kujilinda kwa adui. Na kilichoshangaza zaidi ni kuwa ni kwanini Mazoezi hayo yafanyike karibu na Taifa la Taiwani?

26/03/2024

WATU 20 WATUMBUKIA KWENYE MAJI BAADA YA DARAJA KUVUNJIKA NCHINI MAREKANI

Watu wapatao 20 wanasadikika kutumbukia kwenye maji baada ya daraja la Francis Scott lililopo Baltimore Nchini Marekani kukatika vipandevipande leo March 26,2024 baada ya meli ya mizigo kuligonga.

Boti kadhaa za Vikosi vya uokoaji zimeonekana kwenye Mto huo uitwao Patapaco wakiwemo Wazamiaji ambao wamekiri kuwa magari kadhaa yameonekana kwenye maji.

Daraja hilo la kilometa 2.5 ni kiungo muhimu kwa Watumiaji mbalimbali wa eneo hilo ambapo meli hiyo inayopeperusha bendera ya Singapore imetajwa kuwa na urefu wa futi 948 kwenda juu.

Mji wa Baltimore uliopo ndani ya Jimbo la Maryland ni Mji wenye Wakazi zaidi ya laki tano kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2020 na ni nyumbani wanakotoka Mastaa k**a Jada Pinkett Smith, Sisqó, Mwimbaji Marioo na Spika aliyepita Nancy Pelosi.

25/03/2024

Mwanamke abakwa na kuuawa mbele ya familia yake na wanajeshi wa Israel.

Habari hii inapatikana kwenye YouTube channel ya

22/03/2024

"Katika miaka mitatu (ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan) tumepata mafanikio makubwa katika nyanja ya kidiplomasia. Jambo kubwa ambalo nchi inatafuta katika diplomasia ni ushawishi. Katika jitihada zote tulizofanya ni kuongeza ushawishi ili wawekezaji waje, tupate msaada, tupate mkopo na bila shaka yoyote katika miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia, ushawishi wa Tanzania duniani umeongezeka maradufu.

Hilo halina mjadala na ishara zipo," , Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

**ashariki

20/03/2024

MAMBO 10 USIOYAJUA KUHUSU DUNIA.

Makala kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya

19/03/2024

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema siku moja kabla ya kifo cha Hayati John J. Magufuli, alimwita na kumwambia anajua hawezi kupona na hivyo awaagize Madaktari wamrudishe nyumbani kwake.

Katika Makala aliyofanya na Waandishi wa Habari kutoka Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), ameongeza kuwa Machi 17, 2021 saa 8 mchana, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliambiwa hali ya Rais Magufuli imebadilika na ilipofika saa 12:30 Jioni alifariki

Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya

Address

Kosti

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DW24 Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DW24 Swahili:

Share

ABOUT US

DW24 ni kampuni iliyo na makao makuu yake inchini uingereza, Kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa Follow DW24 Swahili ili uwe wa kwanza kupata habari nyeti za ukweri na uhakika, hakuna kulemba wala kuficha tunafichua zote zilizo fichwa , Toa maoni yako kwa kutembele website yetu, Kwa taarifa za kiingereza michezo Tembelea kurasa zetu @DW24 ,@DW24 Africa, na DW24 Sports , K**a una habari na unaitaji pesa basi tuma haraka katika email yetu au namba ya simu ya mkononi ulipwe papo hapo. Pamoja tunaweza .