مسك سواحيلي - Misk Swahili

مسك سواحيلي - Misk Swahili Chombo cha habari kinachowaletea yanayojiri katika nchi ya Uturuki na kinachoangazia uhusiano kati ya nchi ya Uturuki na nchi za Afrika Mashariki.

Waziri wa Kilimo na Misitu wa Uturuki, atangaza kudhibitiwa kwa moto wa nyika uliokuwa unateketeza msitu kwa zaidi ya si...
25/06/2022

Waziri wa Kilimo na Misitu wa Uturuki, atangaza kudhibitiwa kwa moto wa nyika uliokuwa unateketeza msitu kwa zaidi ya siku mbili katika mji wa Marmaris, kusini magharibi mwa Uturuki.

Rais Joe Biden ameonyesha kutoridhishwa na uamuzi wa mahak**a kuu ya Marekani kutupulia mbali utoaji wa mimba na kusema,...
25/06/2022

Rais Joe Biden ameonyesha kutoridhishwa na uamuzi wa mahak**a kuu ya Marekani kutupulia mbali utoaji wa mimba na kusema, uamuzi huo umerudisha Marekani miaka 150 nyuma.

Katibu Mkuu wa UN, Antony Guterres, aonya kuhusu janga la njaa duniani ambalo halijawahi kutokea.
25/06/2022

Katibu Mkuu wa UN, Antony Guterres, aonya kuhusu janga la njaa duniani ambalo halijawahi kutokea.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov: EU na NATO zaunda muungano wa nchi kadhaa kuwa dhidi ya Urusi k**a vile ...
24/06/2022

Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov: EU na NATO zaunda muungano wa nchi kadhaa kuwa dhidi ya Urusi k**a vile Hi**er alivyofanya alipotaka kuanza vita dhidi ya Umoja wa Kisovyeti.

Maelfu wajitokeza mjini Istanbul kumuaga mwanachuoni mkubwa wa Uturuki, Abdulhamid Efendi, aliyefariki dunia siku ya jan...
24/06/2022

Maelfu wajitokeza mjini Istanbul kumuaga mwanachuoni mkubwa wa Uturuki, Abdulhamid Efendi, aliyefariki dunia siku ya jana.

Bunge la Umoja wa Ulaya laipa hadhi Ukraine kuwania uanachama wa umoja huo.
24/06/2022

Bunge la Umoja wa Ulaya laipa hadhi Ukraine kuwania uanachama wa umoja huo.

Uingereza yaishutumu Urusi kutumia chakula k**a silaha katika vita vyake na Ukraine, na kusema, Urusi haipaswi kuzuia us...
24/06/2022

Uingereza yaishutumu Urusi kutumia chakula k**a silaha katika vita vyake na Ukraine, na kusema, Urusi haipaswi kuzuia usafirishaji wa nafaka kutoka bandari za Ukraine.

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Madola wang’oa nanga nchini Rwanda.
24/06/2022

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Madola wang’oa nanga nchini Rwanda.

Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin: Finland ina matumaini kusuluhisha matatizo na Uturuki kuhusu kujiunga na muungano w...
23/06/2022

Waziri Mkuu wa Finland, Sanna Marin: Finland ina matumaini kusuluhisha matatizo na Uturuki kuhusu kujiunga na muungano wa NATO.

Mak**anda wa kijeshi wa Uturuki na Urusi wamekutana mjini Ankara kujadili suala la usafirishaji wa nafaka kutoka bandari...
23/06/2022

Mak**anda wa kijeshi wa Uturuki na Urusi wamekutana mjini Ankara kujadili suala la usafirishaji wa nafaka kutoka bandari za Ukraine.

Naibu Rais wa Uturuki, Fouad Aktay, akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Lizz Truss, mjini Ankara, kujadili m...
23/06/2022

Naibu Rais wa Uturuki, Fouad Aktay, akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Lizz Truss, mjini Ankara, kujadili masuala ya pande mbili.

Mtetemeko wa ardhi wauwa zaidi ya watu 1000 nchini Afghanistan, naye Katibu Mkuu wa UN, Antony Guterres, atoa wito kwa j...
23/06/2022

Mtetemeko wa ardhi wauwa zaidi ya watu 1000 nchini Afghanistan, naye Katibu Mkuu wa UN, Antony Guterres, atoa wito kwa jamii ya kimataifa kuwasaidia waathirika nchini humo.

Katika ziara ya Mwanamfalme Mohammed bin Salman mjini Ankara, Saudi Arabia na Uturuki zakubaliana kuimarisha ushirikiano...
23/06/2022

Katika ziara ya Mwanamfalme Mohammed bin Salman mjini Ankara, Saudi Arabia na Uturuki zakubaliana kuimarisha ushirikiano katika nyanja zote.

Baada ya kuanza kwa vita vya Ukraine, China imekua mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Urusi.
21/06/2022

Baada ya kuanza kwa vita vya Ukraine, China imekua mnunuzi mkubwa wa mafuta ya Urusi.

Rais Rajab Tayyeb Erdogan amejadiliana na Waziri Mjuu wa Uingereza, Boris Johnson, kwa njia ya simu, masuala ya pande mb...
21/06/2022

Rais Rajab Tayyeb Erdogan amejadiliana na Waziri Mjuu wa Uingereza, Boris Johnson, kwa njia ya simu, masuala ya pande mbili na usafirishaji wa nafaka za Ukraine.

Rais Rajab Tayyeb Erdogan: Tunaendelea na juhudi za kuhakikisha usafirishaji wa nafaka za Ukraine kupitia Bahari Nyeusi.
21/06/2022

Rais Rajab Tayyeb Erdogan: Tunaendelea na juhudi za kuhakikisha usafirishaji wa nafaka za Ukraine kupitia Bahari Nyeusi.

Rais Volodymyr Zelensky: Urusi imeishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine kupelekwa barani humo, na hivyo kusab...
21/06/2022

Rais Volodymyr Zelensky: Urusi imeishika Afrika mateka kwa kuzuia ngano za Ukraine kupelekwa barani humo, na hivyo kusababisha bei ya chakula kupanda.

Viongozi wa Afrika Mashariki wamekubaliana kupeleka jeshi la kikanda DRC, kadhalika wametoa wito wa kusitishwa vita nchi...
21/06/2022

Viongozi wa Afrika Mashariki wamekubaliana kupeleka jeshi la kikanda DRC, kadhalika wametoa wito wa kusitishwa vita nchini humo.

Address

İkitelli OSB Mah. Metro 34 Plaza, Bedrettin Dalan Blv No:23/104,, 34050 Başakşehir/Istanbul
Basak
34490

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when مسك سواحيلي - Misk Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to مسك سواحيلي - Misk Swahili:

Share