Turkish News Swahili

Turkish News Swahili It's international Media Company that's gives you global updates from Turkey in Swahili

Kyungululu ni miongoni mwa maziwa ya kreta yanayopatikana mkoa wa Mbeya
28/10/2024

Kyungululu ni miongoni mwa maziwa ya kreta yanayopatikana mkoa wa Mbeya

Love Birds 💙
16/07/2022

Love Birds 💙

Sehemu gani ungependelea kutalii kipindi hicho cha msimu wa sikukuu.
06/12/2021

Sehemu gani ungependelea kutalii kipindi hicho cha msimu wa sikukuu.

Mamlaka nchini Irak imetangaza kwamba haitorudi nyuma kuhusiana na uamuzi uliofikiwa na bunge wa “kuvifukuza nchini humo...
15/01/2020

Mamlaka nchini Irak imetangaza kwamba haitorudi nyuma kuhusiana na uamuzi uliofikiwa na bunge wa “kuvifukuza nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani ”
Msemaji wa ofisi ya waziri mkuu nchini irak, Vilvam Verde alisema,
“Hakutokuwa na kurudi nyuma katika uamuzi uliofikiwa na bunge wa kuvifukuza vikosi vya Marekani nan chi nyingine vilivyopo nchini”
Kuhusiana na madai yaliyopo kwamba kuna mkataba mpya umesainiwa baina ya serikali ya Irak na Marekani unaoruhusu Marekani iendelee kuwepo nchini humo ili kupambana na Daesh, Verde alisema,
"Serikali haijasaini mkataba wa namna hiyo”.

Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwa...
14/01/2020

Huko nchini China,darubini kubwa zaidi duniani ya mawimbi ya redio iliyopewa jina la FAST ambayo ina ukubwa sawa na viwanja vya mpira 30 imemakamilisha kipindi cha majaribio.
Wanasayansi nchini china wametangaza kwamba darubini hiyo imeanza kutumika rasmi.
Ujenzi wa darubini hiyo kubwa iliyopo katika eneo la Guizhou ulichukua miaka 5 na ulikamilika mwaka 2016.
Gharama za ujenzi wa darubini hiyo ni dola za Marekani milioni 180. Darubini hiyo inatambulika k**a jicho la China angani.
Darubini hiyo ina uwezo wa kukusanya taarifa zenye ukubwa wa gigabyte 38 ndani ya sekunde 1. Kwa kutafuta haidrojeni asilia na mawimbi ya radio yanayosambazwa na nyota na kutathimini taarifa hizo itasaidia katika kufanya uchunguzi wa anga.

Media
13/01/2020

Media

Amir wa Qatar Shiekh Tamim bin Hamad al THani afanya ziara yake ya kwanza nchini Iran.Amir wa Qatar kwa mara yake ya kwa...
13/01/2020

Amir wa Qatar Shiekh Tamim bin Hamad al THani afanya ziara yake ya kwanza nchini Iran.
Amir wa Qatar kwa mara yake ya kwanza amefanya ziara rasmi nchini Iran Jumapili wakati ambapo ukanda upo katika hali ya hatari kufuatia mauaji ya jenerali wa jeshi la Iran nchini Irak, mauaji ambayo yaliendeshwa na jeshi la Marekani katika uwanja wa ndege wa mjini Baghdad na Iran kulipiza kisasi kwa kushambulia kambi zake mbili.
Amir wa Qatar aliwasili mjini Tehran na kupokelewa na viongozi wa Iran.
Tamim amejielekeza nchini Iran akiwa na tume alioomgozana nayo katika ziara yake.
Ni mara ya kwanza amir wa Qatar kufanya ziara nchini Iran tangu kuingia madarakani mwaka 2013.
Taarifa zilizotolewa zi mefahamisha kwamba Al Thani amezungumza na rais wa Iran Hasani Rohani na viongozi wengine wa ngazi za juu nchini humo.
Ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili katika nyanja tofauti umezungumziwa kuhakikisha utulivu.

Hasan Ruhani, Rais wa Iranamemuomba radhi Rais wa Ukraine Vladimir Zelenskiy, Kufuatia kudunguliwa kwa makosa kwa ndege ...
13/01/2020

Hasan Ruhani, Rais wa Iran
amemuomba radhi Rais wa Ukraine Vladimir Zelenskiy, Kufuatia kudunguliwa kwa makosa kwa ndege ya abiria ya shirika la ndege la den Ukraine.
Taarifa kutoka ofisi ya Rais wa Ukraine zinasema Zelenskiy na Ruhani walizungumza kwa njia ya simu.
Taarifa hiyo ilisema,"Ruhani, alitoa salamu za rambirambi kwa wananchi wa Ukraine na familia za wahanga waliopoteza maisha. Aliomba radhi kwa niaba ya Iran kufuatia janga hilo lililopelekea watu 176 kupoteza maisha. Ruhani alikiri moja kwa moja kwamba janga hilo lilitokana na vitendo vya makosa vilivyofanywa nan chi yake”.
Kwa upande wake Zelensikiy alisisitiza kwamba miili ya raia waUkraine waliopoteza maisha latika tukio hilo irejeshwe mara moja ndani ya muda mfupi nchini Ukraine.
Katika taarifa hiyo pia ilielezwa kwamba waziri wa mambo ya nje wa Ukraine ataiandikia barua Iran yenye masharti ya fidia inayohitajika.
Kwa upande mwingine Ruhani alizungumza kwa njia ya simu na waziri mkuu wa Canada, Justin Trudeau. Katika mazungumzo yao alimuomba radhi na kumpa pole kufuatia vifo vya raia wengi wa Canada waliokuwa wakisafiri na ndege hiyo ya Ukraine.

Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki atarajiwa lufanya ziara nchini Iraq.Waziri wa mambo ya nje wa Uturu...
13/01/2020

Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki atarajiwa lufanya ziara nchini Iraq.
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu atarajiwa kujielekeza nchin Irak Alkhamis ambapo anasubiriwa kuzungumza na viongozi tofauti wa taifa hilo.
Ziara hiyo ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki nchini Irak ni kwa ajili ya mazungumzo kuhusu hali inayoendelea nchini humo , hali ambayo imesababishwa na kuuawawa kwa jenerali wa jeshi la Iran Qassen Soleimani .
Jeshi la Marekani liliendesha shambulizi dhidi ya jenerali huyo karibu na uwanja wa ndege wa Baghdad.
Uturuki imefahamisha kuwa inaendelea na juhudi zake za kidiplomasia ili kusulluhisha mgogoro uliopo kati ya Iran na Marekani katika ardhi ya Irak.

Mimea ipatayo elfu 11 humea nchiniUturuki. Miongoni mwa mimea hiyo aina elfu 3 asili yake ni Uturuki. Hili linaifanya Ut...
13/01/2020

Mimea ipatayo elfu 11 humea nchini
Uturuki. Miongoni mwa mimea hiyo aina elfu 3 asili yake ni Uturuki. Hili linaifanya Uturuki kuwa nchi ambayo ina mimea mingi zaidi ya asili barani Ulaya.
Utajiri huu wa uoto wa asili nchini Uturuki unatokana na kuwepo kwa maeneo ya kijiografia ya aina tofauti ikiwemo milima, vilevile hali ya hewa tofauti, ikiwa ni nchi inayounganisha mabara tofauti.
Siku hizi Uturuki huuza nje mimea ya asili ya aina tofauti ambayo hutumika katika tiba na kutoa harufu nzuri. Mimea hii ambayo kwa karne nyingi imekuwa ikimea katika ardhi yenye rutba ya Anatolia imesambazwa duniani. Miongoni mwa vyakula vinavyotokana na mimea yenye asili ya Anatolia ni kma vile cheri, lozi, embe ulaya , ngano, chickpeas, kunde, tini. Miongoni mwa mauwa yenye asili ya Anatolia yaliyosambazwa duniani ni pamoja na “tulip”, “snowdrop” na “Colchicum”.

Jiji la Dubai 1960
13/01/2020

Jiji la Dubai 1960

Address

Instanbul
Istanbul

Opening Hours

09:00 - 18:05

Telephone

+255758182498

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Turkish News Swahili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share