20/12/2025
Zaidi ya watoa huduma 90 kutoka katika vituo mbalimbali vya afya nchiniwamepatiwa mafunzo yaliyoandaliwa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzani (TAEC)jijini Arusha kwa lengo la kuwajengea uwezo zaidi katika kuhudumia wagonjwa na wateja wao ili kuwapa vipimo sahihi vya mionzi na kuepuka madhara pale vinapozidishwa.