Leila Omari

Leila Omari Motivator
Lifestyle
Beauty advisor

Niwakumbushe tu,ku comment kwa emoji kunaua na kuzika engagementjitahidi sana uweke maneno ili kuongeza uchangiaji,kadri...
25/09/2025

Niwakumbushe tu,ku comment kwa emoji kunaua na kuzika engagement

jitahidi sana uweke maneno ili kuongeza uchangiaji,kadri post inavyokua na majibizano ndivyo anavyozidi kwenda viral✍️✍️✍️

Nifundisheni na mimi jamani,kwani nyie mnafanyaje maana mimi siweki simu chini hadi bando liishe🥺🥺🥺
24/09/2025

Nifundisheni na mimi jamani,kwani nyie mnafanyaje maana mimi siweki simu chini hadi bando liishe🥺🥺🥺




Anaitwa Elibarick Eliud Kitundu Ni mtunzi , mwandishi na Mhariri wa vitabu. 🎯Kwa wale wanaohitaji kuandikiwa vitabu mbal...
24/09/2025

Anaitwa Elibarick Eliud Kitundu Ni mtunzi , mwandishi na Mhariri wa vitabu.
🎯Kwa wale wanaohitaji kuandikiwa vitabu mbalimbali huyu ndio kila kitu, Hata iwe kitabu cha waziri anaandika Kwa ubora na Uaminifu mkubwa.

Save Namba yake kisha mtumie MAJINA yako Akusave Ujifunze madini mengi kutoka kwake.

Ili Uone Status zake save Namba yake ,mtafute WhatsApp 0626402561

Kuwa makini sana unapoongea na watu,maana ni bora mtu asikuelewe kabisa kuliko akuelewe tofauti. They call me fundi  🤣  ...
24/09/2025

Kuwa makini sana unapoongea na watu,maana ni bora mtu asikuelewe kabisa kuliko akuelewe tofauti.
They call me fundi 🤣





゚viralシfypシ゚viralシalシ

mnitumie zawadi jamani
24/09/2025

mnitumie zawadi jamani

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raheem Muhammad, Aggy Kairu, Robert Ayo, Aneth Ngiluka, F...
24/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Raheem Muhammad, Aggy Kairu, Robert Ayo, Aneth Ngiluka, Fatuma Yassin, James Joseph Mwakalinga, Clarion Hilury, Abdul Wasiu Abdul Fatah, Costa Winifrid Costa, Shaibu Jalo, Teacher Nestory Sebastian Manunda, Heri Henry, Chris Kabeya Dê Prõ, Omar Abdalla, Kulwa Ismail, Jonathan A Sanga, King Mende, Sajid Aziz Khan, Josure Mungure, Florance Glory, Yohana Tijala Mwasalemba, Fatma Iddy, Rihna Baraka, Roditan Mfalingundi, Fareed Galiatano, Silva Mboya Classic, Agata Mpemba, Mamie Ruhi, Isaac Gilberth, Shadrack Sichalwe, Michaely King Tz, Betty Sayuni Kaduma, Sadick S David, Mariam Shetui, Eisha Leonard, Salma Ally, Ummu Ayman, Zena Dach, Tbàrds Çaréx, Lulu Charles Uhahula, Ir Sylvanus, Dhambi Inaua Church, Filbert Domisian, Ekaro Ramadhan, Pri Sci Llah, Oma Ife Oma Ife, Sarah Tanzania Cometcs, Isma Nasser, Sabie Boke Sam, Evodia Chris

make sure you show love when opportunity is available🙏❤️❤️❤️
24/09/2025

make sure you show love when opportunity is available🙏❤️❤️❤️




Je, unapambana na tabaka la kichwa, nywele zinakatika, au ukuaji usiofurahisha? Suluhisho la asili liko karibu kabisa kw...
23/09/2025

Je, unapambana na tabaka la kichwa, nywele zinakatika, au ukuaji usiofurahisha? Suluhisho la asili liko karibu kabisa kwenye page yako!
Vitunguu Maji (Spring Onions) vina nguvu kubwa ya kuotesha kwenye upara,kukuza na kuboresha nywele zako! 👇

FAIDA ZA MSINGI:

: Zinaua viini ambavyi husababisha tabaka na kuwasha kichwani.
· 💪 (Sulfur) inayoimarisha mizizi na kusaidis ukuaji mpya wa nywele!
ZINAHARAKISHA UKUAJI: Virutubisho vyake vinaboresha mzunguko wa damu kwenye tabaka la kichwa na kufanya nywele zikue kwa kasi na kua nene.
· ✨ Zinazipa nywele zako mng'aro wa asili na kuzilainisha

🧴 JINSI YA KUTUMIA (DIY Rahisi):

1. Tengeneza juisi: saga(blend) na upate juisi ya vitunguu maji.
2. Tia kwenye tabaka la kichwa na nywele baada ya kuosha.
3. Acha angalau dakika 30 (au usiku mzima kwa matokeo bora!).
4. Osha kwa shampoo ya kawaida ili kuondoa harufu.

💡 Dokezo: Tumia mara 1-2 kwa wiki kwa matokeo mazuri. Jaribu kwenye sehemu ndogo kwanza!

Ni dawa ya asili, ya bei rahisi, na yenye nguvu! Jaribu na usahau kipara na nywele dhaifu💚




Hadi raha🙏🙏🙏
22/09/2025

Hadi raha🙏🙏🙏

Wow,me again
22/09/2025

Wow,me again

Address

Msongola
Arusha Chini
12101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leila Omari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Leila Omari:

Share