CasMedia_Company

CasMedia_Company We are a media company dealing with graphics designs, branding and video and audio production

Special Offer! In touch with us through 0687887222
02/03/2024

Special Offer! In touch with us through 0687887222

Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi alifariki Dunia siku ya jana , Tarehe 29/2/2024Akiwa na umri wa mia...
01/03/2024

Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi alifariki Dunia siku ya jana , Tarehe 29/2/2024
Akiwa na umri wa miaka 99

Mzee Mwinyi atazikwa siku ya Jumamosi 2/3/2024 huko Unguja , Atakumbukwa mengi mazuri aliyofanyia nchi ya Tanzania .

Cas and Media tunawatakia pole kwa familia ya aliyukuwa Rais wa Pili wa Tanzania na Taifa kwa ujumla






Furahiya Sikukuu ya Krismasi na Wafanyakazi Wetu! 🌟🎁 Tunawatakia Heri na Baraka Tele!
25/12/2023

Furahiya Sikukuu ya Krismasi na Wafanyakazi Wetu! 🌟🎁 Tunawatakia Heri na Baraka Tele!

Heri ya Sikukuu ya Krismasi iwaletee furaha tele na amani kwa wote.
25/12/2023

Heri ya Sikukuu ya Krismasi iwaletee furaha tele na amani kwa wote.

Tupo live ndani ya Mega Fm Arusha (92.2Mhz)
16/12/2023

Tupo live ndani ya Mega Fm Arusha (92.2Mhz)

guo na vifaa vya michezo vinavyotengenezwa na Kajumulo World Sports visambazwe Tanzania nzima kuanzia Januari 1, 2024. V...
16/12/2023

guo na vifaa vya michezo vinavyotengenezwa na Kajumulo World Sports visambazwe Tanzania nzima kuanzia Januari 1, 2024. Vifaa hivi vya kiwango cha juu vinatumika na timu za mataifa mengi, Wanamichezo, Timu za taifa za michezo mbali mbali na pia watu binafsi.
Wanaotaka kupata vifaa vya Kajumulo World Sports wawasiliane na wakala wake – CAS & Media Co.

Kwa mawasiliano tupigie kwenye namba hizi : 0787 559 510

Tunawatakia wa Tanzania wote heri ya siku kuu ya Uhuru wa TANGANYIKA, Umoja, Uhuru na ujasiri wa taifa.
09/12/2023

Tunawatakia wa Tanzania wote heri ya siku kuu ya Uhuru wa TANGANYIKA, Umoja, Uhuru na ujasiri wa taifa.

06/12/2023
Raha ya Birthday Upate picha nzuri ili kuhakikisha hata mwanao anapokua unahifadhi kumbu kumbu Mama na mwana ndani ya ub...
06/12/2023

Raha ya Birthday Upate picha nzuri ili kuhakikisha hata mwanao anapokua unahifadhi kumbu kumbu

Mama na mwana ndani ya ubora wao hapana machezo weuweee👌👌


Karibu cas and media Kwaajili ya picha nzuri karibu tukuhudumie 0687 887 222

Shukrani za dhati kwa Shirika la safehome for children with disabilities Inclusive  ( SCDI ) Hakika Tulipata wasaa adhwi...
06/12/2023

Shukrani za dhati kwa Shirika la safehome for children with disabilities Inclusive ( SCDI )

Hakika Tulipata wasaa adhwimu wa kuchukua matukio ya picha kwa ufasaha na kutunza kumbukumbu

Waweza kutunza kumbukumbu yako kwa kuwasiliana nasi kupitia namba 0687 887 7222

Address

Arusha
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CasMedia_Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CasMedia_Company:

Share