21/04/2023
TAASISI ISIYO YAKISERIKALI INAYOFAAMIKA KWA JINA LA ELIMU FOUNDATION LEO TAR 21 MWEZI WA 4 WAMEFANYA ZOEZI LA KUGAWA MITI KATIKA SHULE ZA SECONDARY PAMOJA NA MSINGI KATIKA KATA YA OLDONYOSAMBU PAMOJA NA KITUO CHA AFYA CHA OLDONYOSAMBU
AKIZUNGUMZA KATIKA ZOEZI HILO MKURUGENZI WA TAASIIS HIYO MOSES NGEREZA ALISEMA HATO ISHIA HAPO BALI ITAKUA NI MUENDELEZO KWA AJILI YA KUKABIKIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
MKURUGENZI HUYO AMESEMA SI KWAMBA ANAPANDA MITI K**A WENGINE WALIVYO ZOEYA YEYE ATAWEKA NGUVU NA KUWAHIMIZA WATANZANIA KUPANDA MITI KWAAJILI YA MATUNDA NA KUPATA LISHE ILIYO BORA
KWA UPANDE MWINGINE VIONGOZI WAKIMILA PAMOJA NA WANANCH MBALIMBALI WALIPONGEZA HATUA HYO NA KUIOMBA TAASISI YA ELIMU FOUNDATION ISIISHIE HAPO BALI IWE MUENDELEZO
WANANCHI WAMEAHIDI KUA MABALOZI WA ZURI NA WATAFIKISHA ELIMU HII KWA WATU WANAOWAZUNGUKA NA KUHAIDI HATA WATATOA ENEO KWAAJILI YA ELIMINATED DARASA NA KUHAKIKISHA TANZANIA INAKUWA YAKIJANI NA WATU WENYE AFYA NJEMA.
ZOEZI HILO LILIFANIKIWA KUHUDURIWA NA VIONGOZI MBALI MBALI AKIWEMO DIWANI NA MTENDAJI WA KATA AMBAPO NAO WALIHUSIKA KATIKA ZOEZI HILO LA KUOTESHA MITI
PRAYGOD MARTIN - DALA DALA TV