
23/04/2022
Baada ya Kuondoka Konde Gang, rapa Country Boy amefungua Record label na Music Company, imepewa jina IAMMUSIC ,Ameconfirm On Ig nakusema "Kutokana na jitihada anazozionesha Rais wetu mpendwa,Mama etu kipenzi MH. kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele mimi k**a kijana sijataka kubaki nyuma Nimefungua kampuni iitwayo Ambayo itahusika katika kusaidia vijana Mtaani ambao wengi wanataman kutimiza ndoto zao lakin wanashindwa kutimiza kutokana Na changamoto wanazokutana nazo hvyo basi Nakuja mbele yenu Watanzania na serikali kwa ujumla kuipokea KAMPUNI hii...".
-
Country, "Hatuna pesa nyingi lakin Tunaamin katika kidogo tulichonacho Kitatuvusha kutoka sehem Moja kwenda Nyingne.
-
-