13/05/2026
Pesa Ina Kanuni Na Taratibu Zake, Bila Kuzielewa Hata Ushike Kiasi Gani Cha Pesa Kwenye Maisha Yako Unakua Unaweka Tu Msingi Wa Kuja Kuwa Mzee Mtoa Laana Mbeleni
📌Kwani Hujawahi Kuona Watu Wenye Kushika Pesa Chache Wakiwa Na Hali Nzuri Kifedha Kushinda Wengi Wanaoshika Pesa Nyingi? Unafikiri Shida Ni Nini?
📌Tenga Muda Uielewe Pesa Na Namna Inavofanya Kazi Maanake Hili Hata Shule Hawakufundishi, Utajishukuru Sana Uzeeni😊
🚀Nakufundisha Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule 💵💵💵
Coach Gee💚