SIMBA TV

SIMBA TV THE AM OF THIS PAGE IS TO GIVE OUT THE UPDATES OF OUR TEAM SIMBA SPORT CLUB ......SIMBA NGUVU MOJA�

🛫 Ankara 🛬 Istanbul 🛫 Muscat 🛬 Dar es Salaam.Safari ya kurudi Tanzania 🇹🇿 inaanza.
01/08/2023

🛫 Ankara 🛬 Istanbul 🛫 Muscat 🛬 Dar es Salaam.

Safari ya kurudi Tanzania 🇹🇿 inaanza.

BUZA KUMENOGA: Matukio mbalimbali katika picha kutokea Buza ambako Simba SC inazindua hamasa ya   kuelekea   Agosti 06, ...
01/08/2023

BUZA KUMENOGA: Matukio mbalimbali katika picha kutokea Buza ambako Simba SC inazindua hamasa ya kuelekea Agosti 06, 2023.

Endelea kuwa karibu na chaneli yetu ya


✍️Baadhi ya Wachezaji Wa Simba Jana Walifanikiwa kufanyiwa Medical Check Up Ili kujua Afya Zao Kutokana na Kuchelewa Kuw...
01/08/2023

✍️Baadhi ya Wachezaji Wa Simba Jana Walifanikiwa kufanyiwa Medical Check Up Ili kujua Afya Zao Kutokana na Kuchelewa Kuwasili Kambini hii ilisababishwa na Mambo ya Usajili Na Wengi Waliofanyiwa Walikuwa ni Wachezaji Waliosajiliwa na Klabu hiyo!
Awamu ya kwanza Ilifanyika Kwa Waliokuepo walifanyiwa Kabla ya Kuwasili Kambini!
Klabu Kubwa Mambo Makubwa 🙌

💥💥
31/07/2023

💥💥

Kramo atambulishwa kwa wachezaji wenzake tayari kwa kujiunga na mazoezi ya pamoja ..SIMBA NGUVU MOJA
18/07/2023

Kramo atambulishwa kwa wachezaji wenzake tayari kwa kujiunga na mazoezi ya pamoja ..SIMBA NGUVU MOJA

15/07/2023

Msijifanye bize na huo usajili wenu wa kho! kho! kho! kho! yao! yao! leo mmecheza mechi ya kirafiki na mmekandwa!!

Address

9999
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIMBA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SIMBA TV:

Share