My goal

My goal Bonyeza link hapa chini ili kuangalia video YouTube
https://youtube.com/

03/07/2025

diogo jota last ever goalπŸ₯…
R.I.P 😭😭

so sad about       player who has passed away from traffic accident in Zamora ,😭😭😭
03/07/2025

so sad about player who has passed away from traffic accident in Zamora ,😭😭😭

Psg 2-0 first half wakati intermilan wanajitahidi kurudi mchezoni psg kazi yao ni kuhakikisha hawapati nafasi hyo on tar...
31/05/2025

Psg 2-0 first half wakati intermilan wanajitahidi kurudi mchezoni psg kazi yao ni kuhakikisha hawapati nafasi hyo on target 5 Kwa psg wakati Milan hawana hata moja
FT psg champion of UEFA 2025⚽⚽

17/05/2025

RS BERKANE 2-0SIMBA FIRST LEG

08/05/2025

Yamal vs Sommer ⚽

10/04/2025

All penalty shout-out Simba vs al masry

Mwamba   yuko mbioni kujiunga na majogoo   Unafikiri   atakua mdabala sahihi wa   baada ya Nunez mambo kua magumu EPl
28/03/2025

Mwamba yuko mbioni kujiunga na majogoo
Unafikiri atakua mdabala sahihi wa baada ya Nunez mambo kua magumu EPl

10/04/2024

Mbabe wa na muite alambishwa nyasi na wakati wa mechi Kati ya ambapo mechi hyo ikiisha Kwa al hilal kuondoka na ushindi wa bao 2-1 na Ronaldo kupata kadi nyekundu
Tazama picha zaidi kwenye comments

Mechi Kali UEFA champions league Leo   dhidi ya   wazee wa kubeti una mpa nani hapo mara ya mwisho 2021 psg na Barcelona...
10/04/2024

Mechi Kali UEFA champions league Leo dhidi ya wazee wa kubeti una mpa nani hapo mara ya mwisho 2021 psg na Barcelona walikutana na matokeo yalikua k**a hivi
psg 1 Barcelona 1
Barcelona 1 psg 4

05/04/2024

Tazama goli la azizi ki lililokataliwa dhidi ya mamelod sundown

Robo fainali first leg Simba kapoteza thidi ya al ahly je!matumaini yapo Kwa wanasimba
29/03/2024

Robo fainali first leg Simba kapoteza thidi ya al ahly je!matumaini yapo Kwa wanasimba

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when My goal posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to My goal:

Share