14/10/2025
Kampuni ya utalii inayomilikiwa na viziwi.
218 likes, 14 comments. “Ni ajira iliyotengenezwa miongi mwa viziwi, walioajiriwa ni viziwi na hata watu wasio na ulemavu. Kampuni ya utalii kwa jina Tourish Company ya jijini Arusha Tanzania inamilikiwa na viziwi na ilianzishwa mahususi kwaajili ya kujikwamua kiuchumi kwa jamii ya watu hao kutoka...