Tanzaniayakijani

Tanzaniayakijani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzaniayakijani, Media/News Company, Arusha.

11/10/2023
06/10/2023
*KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA.*Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamh...
01/10/2023

*KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA.*

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 1 Oktoba, 2023, ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika jijini Dar Es Salaam.



*MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.*Ndugu Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi kesho ...
22/10/2022

*MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI.*

Ndugu Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi kesho Tarehe 23 Oktoba, 2022 atafanya mkutano na waandishi wa Habari, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar Es Salaam.


*ZIARA DARAJA JIPYA LA WAMI*Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCMTaifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atafanya zia...
17/09/2022

*ZIARA DARAJA JIPYA LA WAMI*

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu
Shaka Hamdu Shaka atafanya ziara katika Mradi wa ujenzi wa Daraja jipya la Wami.

18 Septemba, 2022

09/09/2022

UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) UNAWAALIKA WANAWAKE NA WATANZANIA WOTE KWENYE MATEMBEZI YA KUUNGA MKONO UONGOZI ULIOTUK...
02/09/2022

UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA (UWT) UNAWAALIKA WANAWAKE NA WATANZANIA WOTE KWENYE MATEMBEZI YA KUUNGA MKONO UONGOZI ULIOTUKUKA WA RAIS SAMIA YATAKAYOFANYIKA TAREHE 3 SEPTEMBER 2022

MUDA SAA 12:00.

MAHALA KIBUTENI - KIZIMKAZI

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

30/08/2022

Kasi Ya Awamu ya Sita.


πŸ”₯πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿

30/08/2022

πŸ™ Unapoenda kupumnzika katika nyumba yako ya milele jua watanzania hatukudai katika utumishi wako, wewe ndiye mwanasiasa wa kwanza kuchangamsha siasa za vyama vingi. Tutakukumbuka kwa kuuishi utanzania wa kweli na uzalendo kwa Taifa.
.

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzaniayakijani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzaniayakijani:

Share