MEGA FM TZ

MEGA FM TZ The Hit Station in Tanzania and Online
WhatsApp only

Kutoka AICC Arusha ambapo ufunguzi wa Maadhimisho ya siku ya mapambano dhidi ya rushwa yanafanyika hapa.Pia Tupo hapa en...
09/07/2023

Kutoka AICC Arusha ambapo ufunguzi wa Maadhimisho ya siku ya mapambano dhidi ya rushwa yanafanyika hapa.

Pia Tupo hapa endelea kutufwatilia kwa taarifa zaidi kupitia mitandao yet ya kijamii


tz

08/07/2023

Weka utabiri wa chama lako hapo

Huku LENGO FC VS ENGO LISING FC
PACKERS FC VS SUYE ALL STARS

Dkt. Mutulu Shakur, baba wa kambo wa Tupac Shakur, babake Sekyiwa Shakur na mume wa zamani wa mwanaharakati wa Black Pan...
08/07/2023

Dkt. Mutulu Shakur, baba wa kambo wa Tupac Shakur, babake Sekyiwa Shakur na mume wa zamani wa mwanaharakati wa Black Panther Afeni Shakur, amefariki dunia.

Shakur, ambaye pia ni mzee wa Vuguvugu la Ukombozi Weusi,

K**a miezi saba baada ya kuachiliwa kutoka gerezani.
mutulu mwenye umri wa miaka 72 alitumikia miaka 38 baada ya kukutwa na hatia kwa madai ya kuhusika katika wizi wa benki na mauaji ya mwaka

1981 huko Nyack, New York

✍️

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya ubora wa vilabu ambapo Simba SC imepanda hadi nafasi ya saba baada ya ...
07/07/2023

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya ubora wa vilabu ambapo Simba SC imepanda hadi nafasi ya saba baada ya kukusanya alama tatu, zilizoiwezesha kuwa na alama 24.

Yanga SC ipo nafasi ya 16 ambapo ilikusanya alama nne zilizoiwezesha kufikisha alama jumla ya 16.

HBD Kiongozi Wa Mfano πŸΎπŸŽ‚πŸ™πŸ™Œ πŸ™
17/05/2023

HBD Kiongozi Wa Mfano πŸΎπŸŽ‚πŸ™πŸ™Œ

πŸ™

Usikose Ijumaa Hii βœ… πŸ”₯πŸ”₯
15/02/2023

Usikose Ijumaa Hii βœ…

πŸ”₯πŸ”₯

Je Una Vigezo?
17/01/2023

Je Una Vigezo?

 Ndani ya Mega Active ya@megafm_tz  Leo kuanzia saa saba kamili mchana Hadi saa kumi kamili jioni.Hosts:    Music by    ...
06/01/2023

Ndani ya Mega Active ya@megafm_tz Leo kuanzia saa saba kamili mchana Hadi saa kumi kamili jioni.

Hosts:

Music by

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡Έ

Mtaa Wa Pili βœ…
06/01/2023

Mtaa Wa Pili βœ…

Mega Morning βœ…
06/01/2023

Mega Morning βœ…

Leo Alhamis Ndani Ya AFRI NGOMA ✍️Tupo Na Mkali Wa Kuimba Kopi Za Music Wa Lingala Kutoka Rock City Mwanza ZARRY EDOSHA ...
05/01/2023

Leo Alhamis Ndani Ya AFRI NGOMA ✍️

Tupo Na Mkali Wa Kuimba Kopi Za Music Wa Lingala Kutoka Rock City Mwanza ZARRY EDOSHA Pia Leo Birthday πŸŽ‚ Yake Tuongee Mengi Pamoja βœ…

Baki na Sisi Wazee WA Umeme πŸ”Œβš‘

Ungana Na &
Kuanzia Saa 12 Jioni
Hadi Saa 2 UsikuπŸ”₯πŸ”₯

Cc..

βœ…πŸ‘Š
πŸŒπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

God Son!!!  Leo ndani ya Mega Active ya  usikose kuanzia saa saba kamili mchana Hadi saa kumi kamili jioni.Chini ya usim...
05/01/2023

God Son!!! Leo ndani ya Mega Active ya usikose kuanzia saa saba kamili mchana Hadi saa kumi kamili jioni.

Chini ya usimamizi wa

Music by

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΊπŸ‡Έ

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MEGA FM TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category