GHOST KIULA

GHOST KIULA Muzik/Movie/Maisha/Elimu na Burudani Yoo it's � ChuganSavage �Your No 1 Entertainment �Presenter
Catch me up on � ya 88.5� Triple A Fm Arusha ��

Ni Throwback Thursday! We back kwa hizo Days  wakati BongoFleva Inajitafuta  sauti ya zamani niko  hewani! 📻 tune in www...
20/02/2025

Ni Throwback Thursday!
We back kwa hizo Days wakati BongoFleva Inajitafuta sauti ya zamani niko hewani! 📻 tune in www.radiotadio.co.tz/tripleafm
🎶 ✨ ! 🎵💖"

  Haiwezi kwenda enyewe enyewe ! 😎 Jiandae na  Valentine’s with old school love songs🔥🎶.Tupia Comment your favorite old ...
13/02/2025

Haiwezi kwenda enyewe enyewe ! 😎 Jiandae na Valentine’s with old school love songs🔥🎶.
Tupia Comment your favorite old school jams ndani ya ndani ya Triple a Fm

  It’s mid-week and there’s nowhere else to be🎵🔥. Tune in for the latest and the hottest hits oThe Beats 120 0   with me...
12/02/2025

It’s mid-week and there’s nowhere else to be🎵🔥.
Tune in for the latest and the hottest hits oThe Beats 120 0 with me for the na Story za Burudani Ndichi join na mimi kupitia www.radiotadio.co.tz/tripleAfm
#

All your favourite hits going up on a Tuesday!🔥🎵 Tune in radiotadio.co.tz/tripleAfm  for more on    !
11/02/2025

All your favourite hits going up on a Tuesday!🔥🎵
Tune in radiotadio.co.tz/tripleAfm for more on !

Yoo it’s    🎶💃 🏃   😊 apa apa kwenye    🎶 ya 88.5 🔥 Triple A FM! 📻 niko GHOST KIULA nasimamia kinasa 🎙 Na mziki mzuri uki...
07/02/2025

Yoo it’s 🎶💃 🏃 😊 apa apa kwenye 🎶 ya 88.5 🔥 Triple A FM! 📻 niko GHOST KIULA nasimamia kinasa 🎙 Na mziki mzuri ukifanyiwa mixing kali! Na Maujanja na DjBlackTz🎧✨
Tunaifanya ! Ki Arachuga 🚀🔥

Midweek ndani ya   ni beats na vibes!🔥🎵 hapa Tune in for non-stop hits and good vibes. Don’t miss it!🎶
05/02/2025

Midweek ndani ya ni beats na vibes!🔥🎵 hapa
Tune in for non-stop hits and good vibes. Don’t miss it!🎶

MEEEN WHAAAATS!Tuifanye hii Tuesday iwe special to remember🥳. Na  energy tuliyonayo sio ya level ya kawaida Who’s ready ...
04/02/2025

MEEEN WHAAAATS!
Tuifanye hii Tuesday iwe special to remember🥳. Na energy tuliyonayo sio ya level ya kawaida Who’s ready to catch a vibe with me?

Listen live www.radiotadio.co.tz/tripleAfm.com

Baada ya Kendrickc’s Lamar kushinda Tuzo Tano za   hii Ndo list ya ma Rappers wenye tuzo nyingi za    awards kwa Muda wo...
03/02/2025

Baada ya Kendrickc’s Lamar kushinda Tuzo Tano za hii Ndo list ya ma Rappers wenye tuzo nyingi za awards kwa Muda wote

🏆 Jay-Z - 24
🏆 Ye - 24
🏆 Kendrick Lamar -22

Sikiliza story kamili kwenye The Beats 120

  Taylor Swift Alivyomnyanyulia glass Kendrick Lamar akiwa anapokea tuzo yake ya    Kupitia ngoma yake aliyo mdiss Drake...
03/02/2025


Taylor Swift Alivyomnyanyulia glass Kendrick Lamar akiwa anapokea tuzo yake ya Kupitia ngoma yake aliyo mdiss Drake "Not Like Us" ilishinda kipengele ya Record of the Year.

  Msanii kutokea Nigeria 🇳🇬 Tems’ ameshinda tuzo yake ya    kupitia ngoma ya Love Me Jeje katika kipengele cha Award for...
03/02/2025

Msanii kutokea Nigeria 🇳🇬 Tems’ ameshinda tuzo yake ya kupitia ngoma ya Love Me Jeje katika kipengele cha Award for Best African Music Performance.

Hii inakua tuzo yake ya pili ya grammy na Ndo msanii pekee kutoka Africa alieshinda Tuzo ya kwa mwaka 2025
Sikiliza now!

Address

Triple A Arusha
Arusha

Telephone

+255713009993

Website

http://www.radioradio.co.tz/tripleafm.com

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GHOST KIULA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GHOST KIULA:

Share