
06/09/2024
Miaka 15 katika huduma.Namshukuru Mungu ni kweli hapo katikati niliteleza tena kwa kutosikilizq watumishi wa Mungu nakujifanya kichwa kigumu na kutotii,Ila badoo Neema ya Mungu ilinifunika na upendo wake ulizidi kukuwa maishani mwangu.Nampenda sana Yesu maana ndie njia ya kweli na uzima,leo naendelea kusimama na kulitaja jina lake juu ya mataifa na wazidi kumjua.Sionei haya injili maana ni uzima kwetu.Namshukuru sana Douglas Mwosi , Titus Paul Dumi Aaron Mika Bruno Mwakibolwa Kwakeli hawa watumishi Wa Mungu wamekuwa wakiniombea na hata kuumia kwanini kijana apotee Wamepambana kuomba ili kurudi kundini Mungu awabariki