CCM Dijitali - Blog

CCM Dijitali - Blog Karibu katika hii Globu ya jamii kwa habari mbali mbali na matukio, Kitaifa na Kimataifa. Unakaribishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu.

05/08/2024

โ€œWenye watoto wapewa kipaumbele kuingia kwa Mkapa โ€˜Mwananchi Dayโ€™

(tazama hapa: https://www.instagram.com/p/C-PqykTNny7/).

Leo Klabu ya Yanga inaadhimisha Siku ya Mwananchi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kutambulisha kikosi chao kuelekea msimu wa 2024/25, Mwananchi itaendelea kutoa taarifa za tamasha hilo kwa weledi na kuzingatia misingi ya uandishi wa habari.

Mhariri

๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ

05/08/2024

"๐˜•๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ง๐˜ถ๐˜ณ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ช ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ป๐˜ถ๐˜ณ๐˜ช, ๐˜ญ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ง๐˜ถ๐˜ณ๐˜ข๐˜ฉ๐˜ช ๐˜ป๐˜ข๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช (๐˜Š๐˜๐˜ˆ๐˜‹๐˜Œ๐˜”๐˜ˆ) ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฌ๐˜ฆ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ฑ๐˜บ๐˜ข ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ฆ๐˜ข ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ช, ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข ๐˜™๐˜ข๐˜ช๐˜ด ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ถ".

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na mapokezi aliyopewa na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati wa ziara yake ya uzinduzi wa miradi mbali mbali Agosti 4 Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.

Akizungumza na wananchi wa Mikumi wakati wa uzinduzi wa daraja la Ruaha na barabara ya Kidatu- Ifakara Rais Samia amesema, "Nimefurahi kwa mapokezi mazuri, lakini nimefurahi zaidi kukuta chama rafiki (CHADEMA) kimeniwekea bendera mpya inapepea hivi, inaniambia Rais wetu karibu".

.ilala

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA - ZANZIBARMwenyekiti wa ...
15/01/2024

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA - ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa Mapema Leo Tarehe 15 Januari 2024, Visiwani Zanzibar.

๐Ÿ“Zanzibar

๐Ÿ—“๏ธ 15 Januari, 2024




๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. SAMIA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama ...
15/01/2024

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. SAMIA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ataongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa.

Kikao hicho kitafanyika tarehe 15 Januari, 2024 Kisiwani Zanzibar.

RAIS DKT.MWINYI AFUNGA MAFUNZO YA WANECMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma...
14/01/2024

RAIS DKT.MWINYI AFUNGA MAFUNZO YA WANEC

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefunga semina ya mafunzo ya Uongozi ya siku mbili kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan ,

๐Ÿ“Œ Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja
๐Ÿ—’ 14 Januari 2024.

RAIS DKT.MWINYI KATIKA FAINALI ZA MAPINDUZI CUP 2024Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussei...
14/01/2024

RAIS DKT.MWINYI KATIKA FAINALI ZA MAPINDUZI CUP 2024

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi Mgeni rasmi katika fainali za Mapinduzi Cup 2024 uwanja wa Amaan Complex tarehe: 13 Januari 2024.

Timu ya Mlandege ya Zanzibar iliibuka mabingwa wa Kombe la Mapinduzi mwaka huu baada ya kuilaza Simba 1-0.

Aidha Rais Dkt.Mwinyi amewakabidhi kombe timu ya Mlandege ya Zanzibar na hundi ya shilingi milioni 100 iliyoibuka na ushindi dhidi ya Simba.

Mshindi wa pili timu ya Simba imekabidhiwa shilingi milioni 70.

Vilevile zawadi mbalimbali zimekabidhiwa.

Viongozi mbalimbali wa SMT, SMZ, Taasisi binafsi , Vyama vya siasa, wananchi wameshuhudia fainali hiyo.

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBARMwenyeki...
13/01/2024

MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBARMwenye...
13/01/2024

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA - ZANZIBAR

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Mafunzo ya Siku Mbili Kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Mapema Leo Tarehe 13 Januari 2024 Zanzibar.

Mafunzo Hayo Yanafanyika Kwa Siku Mbili ikiwa na Lengo la Kuendelea Kuwajengea Uwezo Wajumbe pamoja Kuimarisha Chama cha Mapinduzi.





Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CCM Dijitali - Blog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CCM Dijitali - Blog:

Share