TTCL Corporation_Arusha

TTCL Corporation_Arusha Welcome to the official page of TTCL Corporation Arusha! While we keep you updated, we are at your service 24/7.

Eid Mubarak
05/06/2019

Eid Mubarak

Wapendwa Wateja wetu wa TTCL, karibuni katika maduka yetu yaliyopo Maeneo yafutayo kwa ajili ya uhakiki wa usajili wa si...
05/05/2019

Wapendwa Wateja wetu wa TTCL, karibuni katika maduka yetu yaliyopo Maeneo yafutayo kwa ajili ya uhakiki wa usajili wa simcard kupitia mfumo wa alama za vidole, pia kuendelea kujipatia hudumu za mawasiliano kwa gharama ya chini kabisa kutoka kwenye mtandao wako wa kizalendo
1. Arusha - clock Tower karibu na safari hotel
2. USA RIVER - ofisi za posta
3. Tengeru - karibu na soko LA Tengeru
4. Monduli
5. Babati (Mannyara) - nyuma ya posta
6. Katesh (Hanang) - ofisi za CCM
7. Kiteto (Kibaya) @ TTCL Corporation_Arusha

18/04/2019
  from
06/04/2019

from

Uzalendo
24/03/2019

Uzalendo

Mobile Wi-Fi, ina uwezo wa kuunganisha vifaa 10 vyenye kutumia Wi-Fi, kina battery hivyo kinaweza kuchajiwa na kutembea ...
10/02/2019

Mobile Wi-Fi, ina uwezo wa kuunganisha vifaa 10 vyenye kutumia Wi-Fi, kina battery hivyo kinaweza kuchajiwa na kutembea nacho popote huku ukifurahia pamoja na familia /marafiki kwa shilingi Tsh 110,000/- tu, na bei ya vifurushi vya data kwa bei nafuu kabisa.
karibu ujipatie mobile Wi-Fi yako katika duka letu lililopo Maeneo ya clock Tower Arusha, pamoja na maduka yote ya TTCL yaliyopo Tanzania nzima.
.

Simu ya mezani, ina uwezo wa kutuma na kupokea SMS, Ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani na ofisini pia, ina battery, hivyo...
10/02/2019

Simu ya mezani, ina uwezo wa kutuma na kupokea SMS,
Ni nzuri kwa matumizi ya nyumbani na ofisini pia, ina battery, hivyo inahamishika kutoka sehem moja kwenda nyingine.
Kwa shilingi laki moja ya kitanzania (100,000/=) karibu ujipatie simu yako na vifurushi vyenye Gharama ya kizalendo kabisa katika duka letu lililopo Maeneo ya clock Tower Arusha, pamoja na maduka yote ya TTCL yaliyopo Tanzania nzima.
.

 #073
01/01/2019

#073

31/12/2018
Wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani Tukutane leo   vya Reli kuanzia saa naneKutakuwepo na burudani kabambe pamoja na us...
25/11/2018

Wakazi wa Arusha na maeneo ya jirani
Tukutane leo vya Reli kuanzia saa nane
Kutakuwepo na burudani kabambe pamoja na usajili wa line za TTCL bure kabisa

Hii si ya kukosa Tukutane kesho mishale ya saa 8 pale viwanja vya kwaraa mjini Babati, usisahau kuja na kitambulisho cha...
11/10/2018

Hii si ya kukosa
Tukutane kesho mishale ya saa 8 pale viwanja vya kwaraa mjini Babati, usisahau kuja na kitambulisho chako mojawapo kati ya hivi.
Kadi ya mpiga kura, kitambulisho cha uraia, pasi ya kusafiria. Leseni ya Udereva ili uje kusajiliwa line yako ya bure kabisa huku ukipata burdan kabambe toka kwa Man_Fongo, Shilole Aslay na burdan zingine kibao.

Address

3190 Boma Road
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TTCL Corporation_Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TTCL Corporation_Arusha:

Share