
18/02/2024
SUPER GRO ni kirutubisho cha mimea ya aina zote k**a vile Matunda, Mbogamboga, Nafaka, Miti na Bustani..
KAZI ZA SUPER GRO.
♦️Inafanya mmea kuwa na rangi yake ya asili ( Kijani )
♦️Ni kirutubisho kinachoongeza uwezo wa mimea kutengeneza chakula chake vizuri.
♦️Inapambana na ukame na kutunza unyevunyevu kwenye ardhi
♦️Ni kichochezi kinachosaidia maji na virutubisho kufyonzwa zaidi na mizizi
♦️Ni kirutubisho kinachosaidia viwatilifu kufanya kazi vizuri kwenye mimea
♦️Ni sticker inayosaidia dawa za mimea (wadudu) kunata vizuri zaidi kwenye majani
FAIDA ZA SUPER GRO.
♦️Inaongeza wingi wa mazao
♦️Inaongeza rutuba kwenye ardhi
♦️Husaidia mimea kukua kwenye kimo kimoja
♦️Hupunguza ghalama za kilimo
♦️Huongeza uzito wa mazao
♦️Huzuia fangas au ukungu kwenye mimea
♦️Huleta nguvu mpya kwa mazao yaliyolemaa au kudumaa
MATUMIZI YA SUPER GRO ( VIPIMO )
♦️CC au Mls 1 ya Super gro unachanganya na Maji Lita moja
Lita 1 ya Super gro inauwezo wa kutumika kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 2 ‐ 3
Lita 5 ya Super gro inauwezo wa kutumika kwenye shamba lenye ukubwa wa heka 10 ‐ 15.
Kiangazi puliza kila baada ya siku 7
Masika puliza kila baada ya siku 14.
🔶Wasiliana nasi kwa namba 0783552602