Charles James

Charles James Tech you welcome to the world of different things

only genius
08/12/2025

only genius

Eye acuity test, what number is missing
21/11/2025

Eye acuity test, what number is missing

04/10/2025
04/10/2025

"Arusha ni mkoa wa kimkakati unataka jicho la pekee. Ahadi yangu ni kwamba, lile jicho la pekee tutajitahidi kulileta ili Arusha ibakie na ikue k**a mkoa wa kimkakati." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwenye kampeni Karatu mkoani Arusha

04/10/2025
04/10/2025

02/09/2025

Watu ambao idadi yao haijatajwa wameshikiliwa na vyombo vya usalama huko wilayani Karatu mkoani Arusha, ikidaiwa ni baada ya kwenda kurekodi maudhui na Jamii ya Wahadzabe kinyemela, na kuacha kuzingatia utu, mila na tamaduni za jamii hiyo.

"K**a serikali tushaanza kuchukua hatua, kuna watu ambao sasa hivi tunawashikilia tukifanya mahojiano nao juu ya maudhui ambayo wameyatengeneza ambayo wakati mwingine yanapotosha, yanabagaza utu wa watu" Ni kauli ya Felix Togolai ambaye amekaimu nafasi ya mkuu wa wilaya ya Kararu katika shughuli iliyojumisha watu wa Jamii hiyo.

Aidha, inadaiwa kuwa watu wa jamii hiyo wamekuwa wakilazimishwa kurekodi katika mazingira ambayo yanawadhalilisha na kupoteza taswira ya maisha yao ya asili.

Ikumbukwe kuwa Chabba na Dudukwee wamekuwa wakirekodiwa kwa wingi zaidi ukilinganisha watu wengine wa Jamii hiyo, na maudhui yanayowahusu kupata wafuatiliaji wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani katika mitandao ya kijamii.

17/07/2025
16/07/2025
16/07/2025

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charles James posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Charles James:

Share