Geofrey Media Blog

Geofrey  Media Blog HABARI | MICHEZO | BURUDANI | MAISHA | VIDEOS | MATANGAZO |
Waweza kushare na marafiki zako nao wapate habari hizi kila siku. KARIBU YAKO ZAIDI

Pia usikose kutembelea blog yetu kuendelea kupata habari kemkem kila saa na kila siku. Tembelea http://www.geofreymedia.co.tz

🤝 Habari rafiki yangu mpendwa🫂Je unajua kuwa simu yako ni ajira tosha🤗 simu yako ya mkononi📱 inauwezo wa kukuingizia 100...
16/01/2024

🤝 Habari rafiki yangu mpendwa🫂
Je unajua kuwa simu yako ni ajira tosha🤗 simu yako ya mkononi📱 inauwezo wa kukuingizia 10000 mpaka 20000 kwa kila siku ukiwa tu👇
* APP YA APPPESA*
*na mtaji mdogo Sana WA kufungulia account ya APPPESA ambao mtu yeyote anaumudu *

Nitumie ujumbe mfupi WhatsApp namba 0768465103 tuma neno (nifundishe) au Gusa https://www.apppesa.com/page/reg.php?reg=hadithizetu

AD: Ndiyo ni   kutoka   jipatie nakala ya hadithi au kitabu kwa bei nafuu sawa na bure kuna offer ya hadi 6️⃣0️⃣% Woow❗ ...
12/08/2022

AD: Ndiyo ni kutoka jipatie nakala ya hadithi au kitabu kwa bei nafuu sawa na bure kuna offer ya hadi 6️⃣0️⃣% Woow❗ Unangoja nini❓ Ingia www.payhip.com/hadithizetu na ujipatie nakala yako sasa.

Kumbuka, hii ni leo tu yaani LIMITED OFFER❗❗❗

OFFER❗ OFFER❗OFFER❗Unaweza kununua HADITHI ya JARIBU LA USHINDI kupitia https://payhip.com/b/ZSl4 na kupata punguzo la 1...
13/01/2022

OFFER❗ OFFER❗OFFER❗

Unaweza kununua HADITHI ya JARIBU LA USHINDI kupitia https://payhip.com/b/ZSl4 na kupata punguzo la 10%. Unachotakiwa kufanya SHARE hadithi hii kwa rafiki yako kisha rudi kwenye sehemu ya manunuzi na fanya manunuzi kwa punguzo. Rafiki yako naye atakaponunua atapata punguzo la 10%.

Ofa hii ni hadi Jumapili saa 12 jioni.

🔸USICHELEWE🔸

15/09/2018

Are they or aren't they? Justin Bieber and Hailey Baldwin have sparked wedding rumors in the past 24 hours after they were spotte...

Mashabiki wa kundi la Muziki la BTS  wadhihirisha mapenzi yao kwa kundi hilo.Hii ni baada ya kuachia video ya wimbo wao ...
29/08/2018

Mashabiki wa kundi la Muziki la BTS wadhihirisha mapenzi yao kwa kundi hilo.

Hii ni baada ya kuachia video ya wimbo wao uitwao “IDOL” na kuweka rekodi katika mtandao wa YouTube kwa kupata watazamaji wengi ndani saa 24 tu.

Ndani ya muda huo video ya wimbo wa IDOL ilikuwa na Viewers zaidi Milioni 45 ndani ya siku moja na kuvunja rekodi ya Taylor Swift aliyoiweka kwa Viewers Milioni 43.2 kwenye video ya wimbo wa “Look What You Made Me Do” Katika mtandao wa YouTube.

Aidha kabla ya “IDOL,” BTS waliwahi kuvuna watazamaji milioni 35.9 ndani ya saa 24 katika video ya wimbo wao ya “Fake Love” mwezi May.

Hii inadhihirisha namna ambavyo mashabiki wa kundi hili walivyo active katika kusupport kazi za kundi hili.

Pengine, baadae wanaweza kufikisha views Bilioni moja kwenye hii ya “IDOL” jambo ambalo wafuatiliaji wa rekodi hizi wanasema siyo rahisi.

Rekodi zinaonesha video ambazo zilikuwa na watazamaji wengi katika mtandao huu wa YouTube ni ya , na ya wimbo maarufu wa “Despacito,” ambao umegonga watazamaji bilioni 5.46, kupitia video ya wimbo wa “Shape Of You” na akishirikiana na video ya wimbo “See You Again” ambao umegonga viewers Bilionin 3.73.

Wimbo huu ulikuwa ni soundtrack ya filamu ya Fast and Furious 7.

Mashabiki wa hapa Bongo vipi?

K**a utakumbuka vizuri Shawn Michaels Hickenbotton a.k.a HBK k**a anavyojiita, alistaafu kwenye mchezo wa mieleka "Wrest...
28/08/2018

K**a utakumbuka vizuri Shawn Michaels Hickenbotton a.k.a HBK k**a anavyojiita, alistaafu kwenye mchezo wa mieleka "Wrestling" March 28 mwaka 2010 baada ya kupoteza pambano lake kwa The Undertaker, sasa ana rejea wiki ijayo kwenye .....Came Back yake itakuwaje?

DON'T MISS

The team of     Ronda Rousey & The Bella Twins will unite to take on The   in Melbourne, Australia, on October 6 at  ! D...
28/08/2018

The team of Ronda Rousey & The Bella Twins will unite to take on The in Melbourne, Australia, on October 6 at ! DON'T MISS!!

Address

Sakina
Arusha
23000

Opening Hours

Monday 05:00 - 00:00
Tuesday 09:00 - 00:00
Wednesday 09:00 - 00:00
Thursday 09:00 - 00:00
Friday 09:00 - 00:00
Saturday 09:00 - 00:00
Sunday 09:00 - 00:00

Telephone

+255768465103

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geofrey Media Blog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Geofrey Media Blog:

Share