R Kay Yanga Forever

  • Home
  • R Kay Yanga Forever

R Kay Yanga Forever Welcome to R Kay. Digital Journalist. Content Creator. Football Reporter. Teacher. R Kay Yanga Sc Fan Page
(1)

Wana YangaSc mmemsikia Juilio, kocha wa Mashujaa? Kwa hiyo mmeamua kumkalia kimya? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
10/06/2026

Wana YangaSc mmemsikia Juilio, kocha wa Mashujaa?
Kwa hiyo mmeamua kumkalia kimya?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Utadhani yanamuhusuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
09/06/2026

Utadhani yanamuhusu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Unaambiwa jana alishasaini mkataba wa miaka miwili kisha akapanda p**a kurudi Kenya kumalizia mechi ya mwisho. K**a unam...
09/06/2026

Unaambiwa jana alishasaini mkataba wa miaka miwili kisha akapanda p**a kurudi Kenya kumalizia mechi ya mwisho.

K**a unamjua, mtaje jina lake!

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kwa mujibu wa Hans Rafael14 πŸš¨πŸš¨πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Usiku huu Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji namba 9 wa Police Kenya n...
08/06/2026

Kwa mujibu wa Hans Rafael14

πŸš¨πŸš¨πƒπŽππ„ 𝐃𝐄𝐀𝐋: Usiku huu Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji namba 9 wa Police Kenya na timu ya taifa ya Burkina Faso πŸ‡§πŸ‡«,Yves Koutiama (27).

Kila kitu kimekamilika,Yves Koutiama,amejiunga na Yanga kwa miaka miwiliβœ…

Nyota huyo alijiunga na Police mwezi january mwaka huu na kufanikiwa kufunga goli 10 za ligi kuu ya Kenya.

Yanga wamevunja mkataba wake wa miaka miwili na Police.

Niko hapa kuthibitisha kuwa Yves Koutiama ni balaa jipya Jangwaniβœ…

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Cloutus Chota Chama akiteta mawili matatu na wazee wenzake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
08/06/2026

Cloutus Chota Chama akiteta mawili matatu na wazee wenzake
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Anaitwa Mohamed Hussein "Zimbwe Jr". Wakati alipokuwa majeruhi, maadui wakazusha kwamba hapewi nafasi ya kucheza hivyo a...
08/06/2026

Anaitwa Mohamed Hussein "Zimbwe Jr".
Wakati alipokuwa majeruhi, maadui wakazusha kwamba hapewi nafasi ya kucheza hivyo anajutia kwenda Young Africans Sports Club . Walimwengu bhana, wana mambo na vijimambo πŸ€”

Haya sasa, huyo hapo akijifua baada ya kupona na yupo tayari bin ready kuipambania club aipendayo kwa sasa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
08/06/2026

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Huyu mhindi wao halitaki Irizi used πŸ˜‚
07/06/2026

Huyu mhindi wao halitaki Irizi used πŸ˜‚

Shedrack Issaka Boka kutemwa dirisha kubwa
07/06/2026

Shedrack Issaka Boka kutemwa dirisha kubwa

Dube aongeza miaka miwili Jangwani
07/06/2026

Dube aongeza miaka miwili Jangwani

Address


Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255676783387

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when R Kay Yanga Forever posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share