RKay Media

RKay Media Welcome to RKay Media. Your Sports & Entertainment Hub R Kay Yanga Sc Fan Page
(1)

WAAMUZI WA NGAO YA JAMIITFF wameshatoa list ya waamuzi wa mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii kati ya YangaSc na SimbaSc ku...
11/08/2026

WAAMUZI WA NGAO YA JAMII

TFF wameshatoa list ya waamuzi wa mchezo wa kesho wa Ngao ya Jamii kati ya YangaSc na SimbaSc kule visiwani Zanzibar kwenye dimba la New Amaan Complex. Arajiga refa wa kati πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jionee mwenyewe πŸ‘‡πŸ‘‡

Au tuseme "Kwiiiishaaaaaa" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

π’π”ππ‘πˆπ’π„π„π„π„π„Selemani Mwalimu Ni Mwananchi Wenyewe Yanga wanasema, "Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja ku...
11/08/2026

π’π”ππ‘πˆπ’π„π„π„π„π„

Selemani Mwalimu Ni Mwananchi

Wenyewe Yanga wanasema, "Tuliwaambia anafanya mazoezi na timu ndogo, anakuja kuanza msimu na Klabu Kubwa" πŸ”°

Duh wenye hela mfukoni wamefanya mambo πŸ˜‚

Ebwanaaee hii imekaaje eti πŸ€”

Toa maoni yako πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

NGAO YA JAMII 2026 Timu za YangaSc na SimbaSc zimeshatua Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopi...
10/08/2026

NGAO YA JAMII 2026

Timu za YangaSc na SimbaSc zimeshatua Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa kwenye uwanja wa New Amaan Complex Jumatano 12/08/2026.

Watani hao wa jadi wenye Derby yao ya Kariakoo watakutana kwa ajili ya mchezo huo ukiwa ni ufunguzi rasmi wa msimu wa 2026-2027.

Huu mchezo bila shaka unatarajiwa kuwa wa kukata na shoka kwani kila timu imejipanga na kujiandaa vilivyo.

Baada ya kila mmoja kuonesha kikosi chake kwenye sherehe zao za Simba Day 08.08.2026 dhidi ya Polisi Kenya na Yanga Day 09.08.2026 dhidi ya Les Aigles du Congo, zinatarajiwa kuonesha soka kali na la ushindani wa hali ya juu.

Pamoja na kwamba wote walifungwa na wapinzani wao waliowaalika, lakini kila upande mashabiki wake wameonekana kuridhishwa na viwango vya wachezaji wao hasa wale waliosajili msimu huu.

Yetu miguu, masikio na macho. Tusubiri wa subira kuushuhudia mtanange huu hapo keshokutwa.

Unatabiri nani atatwaa ngao ya jamii 2026?

Comment πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Msisahau usajili haujafungwa bado. Lisemwalo k**a halipo laja. Kaeni mkaoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
10/08/2026

Msisahau usajili haujafungwa bado. Lisemwalo k**a halipo laja.

Kaeni mkao
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Ameandika Haji Manara πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘Ilikuwa Weekend Bomba sana kwa Watu wa football na Burudani kwa ujumla.It’s was amazing na t...
10/08/2026

Ameandika Haji Manara

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Ilikuwa Weekend Bomba sana kwa Watu wa football na Burudani kwa ujumla.

It’s was amazing na tulienjoy kwa kila kitu, no matter team zote tulifungwa nyumbani !!! kwangu yalikuwa majaribio ya kirafiki zaidi kujiandaa na next season.

Pia Level ya utambulisho wa Wachezaji wa juzi na jana haijawahi kufikiwa before,natamani niwape zawadi hata ya maua ya asumini!!
Simba na Yanga mnastahili pongezi nyingi na binafsi mmenipa furaha kubwa kwa kila nukta nilipokuwa nikiangalia Matamasha yenu yaliyomalizika weekend iliyoipita!!

Hongereni sana Wadogo zangu wapendwa Ahmed Ally na Ally Kwmwe, hakika mmeweza nyie na Clubs zenu,Good performance Guys !!

Am proud of you my young brothers
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Na K**a Msemaji wa Team za Taifa nawatakia kila la Kheri Team zote zitakazowakilisha Nchi kwenye msimu huu wa 2026/27.
Maslahi ya Tanzania yatatanguliwa kuliko Clubs zetu pendwa,INSHA'ALLAH
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ πŸ™

Young Africans Sports Club
Simba SC Tanzania

Tuongee Ukweli πŸ€”Pale SimbaSc viongozi wao wangeshik**ana k**a hawa basi SimbaSc wangewaacha YangaSc mbali mno.
10/08/2026

Tuongee Ukweli πŸ€”

Pale SimbaSc viongozi wao wangeshik**ana k**a hawa basi SimbaSc wangewaacha YangaSc mbali mno.

Ila Masalanga jana k**a ulizingua vile. Lile goli la kwanza ulikuwa na uwezo wa kulizuia kabisa k**a ungekuwa sharp. Bek...
10/08/2026

Ila Masalanga jana k**a ulizingua vile. Lile goli la kwanza ulikuwa na uwezo wa kulizuia kabisa k**a ungekuwa sharp. Beki alisha block boli, wewe ukachelewa kufwata mpira πŸ€”

Nionavyo mimi YangaSc na Simba wote wamesajili vikosi vizuri tu. Pamoja na timu zote 2 kupoteza, mashabiki hawana mashak...
09/08/2026

Nionavyo mimi YangaSc na Simba wote wamesajili vikosi vizuri tu.

Pamoja na timu zote 2 kupoteza, mashabiki hawana mashaka na mapambano ya ligi ya NBC.

Suala linakuja kwenye je tuna usajili wa kutufaa?

Mimi: Nimependa kimbia ya Shalulile baada ya goli la penati.

Yanga wamefungwa magoli 2 ya ajabu ajabu sana.

Viongozi wa YangaSc wamewadanganya wananchi kuhusu utambulisho wa namba 6 πŸ€”

Address

Arusha

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255676783387

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RKay Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share