14/01/2026
New..Sadio Mane aivusha Senegal katika hatua ya nusu fainali mashindano ya AFCON yanayofanyika Morocco .
Mafanikio haya yametokea baada ya Senegal kushinda goli 1 dhidi ya misri ambaye hakupata goli lolote.