Safina Radio Fm

Safina Radio Fm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Safina Radio Fm, Radio Station, P. O Box 1109, Arusha.

Media/news company
๐Ÿ“ป Safina Radio Fm Official page.
๐Ÿ“ 92.5 ARUSHA
๐ŸŽง Tunasikika Zaidi ya Mikoa 20 Nchini Tanzania.
๐Ÿ’ง๐Ÿ’งChemchemi ya Maji ya Uzima๐Ÿ’ง๐Ÿ’ง
๐ŸšฉKALOLENI-ARUSHA

๐ŸŽง Listen Us Now https://onlineradiobox.com/tz/safina925/

30/05/2026

Shalom watu wa Mungu lile Kusanyiko Kubwa la Boma, Tumelihairisha kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wetu. Hivyo badala ya kufanyika jumapili hii litafanyika tarehe 7 June 2026. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI.

27/05/2026

SIKU YA PILI YA KUSHUGHULIKIA ROHO ZA HASARA NA AIBU ZINAZOZUIA KUPATA FAIDA KATIKA MAISHA YAKO.

โœ๐Ÿฝ Alhamis hii Tunaenda Kushughulikia Roho zote zinazozuia Faida ya Mtu Kiuchumi, kwenye Ndoa, Afya, Elimu na Roho zinazotumia faida ya Mtu kuyaishi Maisha yake (Matendo 16:16).

โœ๐Ÿฝ Kuna faida ya watoto Kielimu, Faida za Biashara, Kilimo, Ufugaji na hata kwenye Madini ila zimeshikiliwa au zinatumiwa kwingine, zimefichwa, zimefukiwa, zimeibiwa na mhusika hafaidiki na chochote na maisha yake yamekosa muundo.

โœ๐Ÿฝ Njoo Alhamis Hii Tutashughulikia Roho zote zinazoleta Hasara kwenye Maisha kwa ujumla na kurudisha faida zetu zote ili Maisha yawe na thamani na heshima.

๐Ÿ—“๏ธ Siku. Alhamis Hii 28 May 2026.

๐Ÿ•ฐ๏ธ Muda: 2:00 Asubuhi.

๐Ÿ’’ Mahali. Katika Ukumbi wa Maombi wa Huduma ya Radio Safina Mbauda Arusha.

Atahudumu Mtumishi wa MUNGU, JOVIN ABEL MSUYA Akishirikiana na Watumishi Wengine wa Huduma ya Radio Safina.

๐Ÿ™Œ๐Ÿพ USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

27/05/2026

KONGAMANO KUBWA LA SIKU TATU LA KUFUFULIWA, KUHUISHWA NA KILA KITU KURUDISHWA KATIKA MUUNDO WAKE SAHIHI MAISHANI MWAKO.

๐Ÿ“Œ HUDUMA YA RADIO SAFINA ARUSHA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ IMEKUANDALIA, SIKU TATU ZA KONGAMANO KUBWA YAANI TAREHE 25, 26 NA 27/06/2026 KATIKA UWANJA WA MAGEREZA KISONGO ARUSHA TANZANIA.

โœ๐Ÿฝ Ni Kongamano ambalo kila kitu katika maisha yako Kitafufuliwa, Kuhuishwa na Kurudishwa katika Muundo wake sahihi wa kwanza.

โœ๐Ÿฝ Kila mifupa Mikavu ya Ndoa yako, Kazi, Biashara, Kilimo na Ufugaji wako, Kipawa chako, Afya na Elimu yako, Kitafufuliwa na kurudishwa katika Muundo wake sahihi.

โœ๐Ÿฝ Tutakuwa na maombi ya siku 40 kuanzia Tarehe 19/05 hadi tarehe 27/06/2026 na pia Kongamano ili litatanguliwa na Maandamano Tar 20/06/2026.

๐Ÿ›ก๏ธ KUMBUKA KATIKA KONGAMANO UTAPEWA SEHEMU YA ARDHI KUTOKA KATIKA NCHI TAKATIFU YA ISRAEL.

27/05/2026

TWENZETU KILIMANJARO 31 MAY 2026.

JISAJILI SASA KUPITIA NAMBA ๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž 0754474425 MR. NYARI

NAULI YA KWENDA NA KURUDI NI 10,000Tsh.

UKOMBOZI UMEFIKA KILIMANJARO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

25/05/2026

Mwenyekiti wa Umoja wa daladala Mkoa wa Arusha Bw M***a Njuga afunguka sababu za Kusitishwa huduma leo mkoani Arusha.

Njuga ameyasema hayo katika mahojiano na Mtangazaji ambaye alimuuliza kwa nini haswa leo baadhi ya watoa huduma za usafiri Arusha wamegoma na Kusababisha adha kubwa kwa wasafiri huku majibu yake yakieleza kuwa wameketi meza moja na serikali na kuridhia kurudi kazini.

Cc.




HUDUMA YA RADIO SAFINA ARUSHA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ IMEKUANDALIA SIKU MOJA YA  KUSANYIKO KUBWA LA MAOMBI YA UKOMBOZI YATAKAYOFANYIKA KATIKA...
24/05/2026

HUDUMA YA RADIO SAFINA ARUSHA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ IMEKUANDALIA SIKU MOJA YA KUSANYIKO KUBWA LA MAOMBI YA UKOMBOZI YATAKAYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA HALMASHURI YA HAI - BOMA - KILIMANJARO ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โœ๐Ÿฝ Ni siku moja tu Tar 31/05/2026 ya Ukombozi wa Nyota Yako Siku ambayo Moto wa Maombi utapita kuwafungua watu kwenye vifungo vya Umasikini, Vifungo vya Magonjwa, Vifungo vya Biashara na Uchumi wako, Vifungo vya Kutokufanikiwa pamoja vifungo vya ugumu wa Maisha na laana.

โœ๐Ÿฝ Ni Siku Moja tu Ambayo Utakutana na Ishara, Maajabu na Miujiza na Utaponywa na kufunguliwa kwenye Kila Hali unayohitaji Msaada wa YESU KRISTO mwenyewe.

โœ๐Ÿฝ Karibu kwenye Maombi haya wewe na familia yako pia mwalike na jirani yako.

๐Ÿ—“๏ธ Siku: Jumapili 31/05/2026.

๐Ÿ•ฐ๏ธ Muda: 7:00 Mchana hadi Jioni

๐Ÿ’’ Mahali. Uwanja Snow View Halmashuri - Boma Hai - Kilimanjaro ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

๐Ÿ”ฅ Watahudumu Watumishi Wote wa Huduma ya Radio Safina kwenye Maombi haya Makubwa Boma ng'ombe ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ™Œ๐Ÿพ USIPANGE KUKOSA ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ

TWENZETU KILIMANJARO 31 MAY 2026.UKOMBOZI UMEFIKA WILAYANI HAI, BOMA - KILIMANJARO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
23/05/2026

TWENZETU KILIMANJARO 31 MAY 2026.

UKOMBOZI UMEFIKA WILAYANI HAI, BOMA - KILIMANJARO๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ



22/05/2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Lameck Nchemba, anatarajiwa kuendelea na ziara yake mkoani Iringa kuanzia Mei 23 hadi 24, 2026, kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi pamoja na kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa mkoa huo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo, Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Kheri James amesema Waziri Mkuu atatembelea wilaya mbili ambazo ni Wilaya ya Iringa na Wilaya ya Kilolo,akisema kuwa Mei 23 Waziri Mkuu atakuwa katika eneo la Kichangani, Manispaa ya Iringa, huku Mei 24 akitarajiwa kuzungumza na wananchi katika eneo la stendi ya Kilolo.

Mkuu huyo wa Mkoa amewaomba wananchi wa wilaya hizo mbili kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mikutano hiyo ili kupata nafasi ya kusikiliza maelekezo mbalimbali kutoka kwa Waziri Mkuu, yatakayochochea maendeleo na ustawi wa Taifa.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia anatarajiwa kutembelea mradi wa Barabara ya Mchepuko wa Iringa (Iringa Bypass), ambao ni miongoni mwa miradi ya kimkakati inayotekelezwa mkoani humo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara Tanzania yaani ''Tanzania National Roads Agency'' (TANROADS).

Aidha, akiwa wilayani Kilolo , Waziri Mkuu atakagua mradi wa barabara ya Ipogoloโ€“Kilolo, ambao unaelezwa kuwa kiungo muhimu cha biashara, uchumi na shughuli za kijamii kati ya Wilaya ya Iringa na Kilolo.
Ziara ya Waziri Mkuu mkoani Iringa inatarajiwa kuleta chachu mpya ya maendeleo kwa wananchi kupitia ukaguzi wa miradi mbalimbali pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi moja kwa moja.

SHALOM! KARIBU KWENYE CHANNEL YETU YA WHATSAPPFollow the SAFINA RADIO FM channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/chann...
20/05/2026

SHALOM! KARIBU KWENYE CHANNEL YETU YA WHATSAPP

Follow the SAFINA RADIO FM channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vb70XpACXC3H0eirI03N

Follow SAFINA RADIO FM's WhatsApp Channel. ๐Ÿ“ป Safina Radio Fm Official WhatsApp Channel.
๐Ÿ“ 92.5 ARUSHA
๐ŸŽง Tunasikika Zaidi ya Mikoa 20 Nchini Tanzania.
๐Ÿ’ง๐Ÿ’งChemchemi ya Maji ya Uzima๐Ÿ’ง๐Ÿ’ง
๐Ÿšฉ Kaloleni - Arusha, Tanzania
๐ŸŽง Tusikilize Sasa Kupitia ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰ https://onlineradiobox.com/tz/safina925/. Join 51 followers for the latest updates.

Address

P. O Box 1109
Arusha
23103

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Safina Radio Fm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category