Hussen modu

Hussen modu �Ukurasa huu ni maalumu kwaijili ya maarafa mbalimbali ya kuhusu jamii .

22/08/2021

Yaaa Hussayn

HABARI.!! ➡maishani  fanya jambo lako usijishughulishe na jambo lisilo lako. Naomba tuelewana, haina maana usimsapoti ra...
23/02/2020

HABARI.!!
➡maishani fanya jambo lako usijishughulishe na jambo lisilo lako. Naomba tuelewana, haina maana usimsapoti rafiki, ndugu, na jamaa haipo hivyo : nakusudia usiache jambo unalo lifanya kwa kukuwa ndugu yako anafanya jambo zuri udhani atakusakupa fedha.
➡Haijalishe jambo lako ni dodo kiasi gani, cha msingi shughulikia jambo unalolifanya maana kila mtu aliumbwa ili kuja kutimiza jambo ambalo mungu alimkusudia kuja kufanya.
➡penda kufanya chako, kisicho chako achana nacho.
Hahahahahahah... Enjoy each step.....
Happier is really success
BY; Hussen modu.

22/02/2020

HELLO!!
➡Kijana mwenzangu, mkubwa mwenzangu na mdogo mwenzangu FURAHA ya kweli huja pale utakapo ishi kuwa wewe.
➡Ndugu yangu ishi maisha yako
➡Ndugu yangu ishi kusudi lako
➡Ndugu yangu ishi matakwa yaka
➡Ndugu yangu ishi maamuzi yako
➡Ndugu yangu ishi uhalisia wa maisha yako, acha kuishi maisha ya nakala hayo siyo maisha yako. ..... .... ... ... ....... ...... ..... ...... ..
MAISHA YAKO HALISI➡ Ni pale unapo fanya kitu ambacho ni pendezo lako.
➡wengi wetu tunaishi maisha yasiyo ya furaha kwasabab ya fedha au mali. Wengi wanafanya kazi wasizi zipenda ima kwa kuchaguliwa na wazazi, familia, walezi nchi au wamezichagua kwa changamoto ya kifedha.
➡Tokomeza huzuni ili kuishi maisha Halisi.
.. .. BE YOU.....
🎤🎤KUWA WEWE🎤🎤
.... Enjoy each step...
Happier is really success
Hahahahaha
BY: Hussen modu.

HELLOW HABAR ZENU!! ➡Ewe ndugu yangu unaekaa mjini kwa kazi ngumu ya kutafuta kazi, muda huu ni muda wako wa kubadili ut...
15/11/2019

HELLOW HABAR ZENU!!
➡Ewe ndugu yangu unaekaa mjini kwa kazi ngumu ya kutafuta kazi, muda huu ni muda wako wa kubadili utamaduni huu.
➡Acha kuishi kwa kuwaiga watu, Wengi wetu tumekimbilia mijini tukidhani ya kwamba mijini ndiyo kuna maisha ya kuteremka. Lakin ulielewa ukweli pindi ulipomwona MH Jakaya aliporudi Msoga.najua bado hujanielewa lakin utanielewa ukikumbuka MH magu alipohasisha USAFI alishika chepe. Ukweli ni kwamba viongozi wetu wanachoka kutuelekeza kwa maneno na ndiyo maana wanatumia vitendo.
➡kaa mjini kwa malengo.
➡Siyo kila mwenye kumiliki nyumba mjini, amepata kwa kuuza unga na mchele kwa kilo kilo, najua hunielewi lakin ukijaribu kumchnguza yule jamaa utajua kila weekend anatoweka, sas mimi na wewe tulivyo wapumbavu hua tunadhani kaenda sehem za starehe, kumbe anakua RUVU kuangalia mpunga.
➡jamaa flani alisema kuwa tajiri bongo ni bora kuwa mbwa ulaya, lakin kasahau kua ulaya mpaka kuku huna mamlaka ya kufuga ispokua kampuni ndizo zenye mamlaka. Wakati bongo unafuga Mbuzi mpaka mjini. Nitakua sujamtendea haki k**a sijamwita mpumbavu. Najua hujanielewa lakin utakapofik uwanja wa ndege na kuona Ngozi nyeupe zimeenea utanielewa.
➡mtaani kwako kuna jamaa anafanya kazi ngumu ya kutafuta kazi, Halaf anasema maisha magumu, hivi wewe tunawez kusem hata wew unajua ugum wa maisha kweli....??
Ni sawa na kusema jua kali halafu muda huo ni saa nane usiku, inakubidi ufanyiw uchunguzi wa akili.
Huu ni muda mwafaka kwako ewe dada kaka, kuangalia fursa.
Usiseme maisha magumu halafu kila siku tunaona wazungu wakiingia na kuwekez, maisha yangekua magumu wasingekua wakija bongo. ... Hussen modu.....
Enjoy each step
Happier is really success.

Hellow!!  Habar zenu... Fanyia kazo wazo hili. ➡Anaye kupandisha kimafanikio siyo siyo adui ni rafiki.Adui hawez kukupan...
14/11/2019

Hellow!! Habar zenu...
Fanyia kazo wazo hili.
➡Anaye kupandisha kimafanikio siyo siyo adui ni rafiki.
Adui hawez kukupandisha kwasabab unamjua ni adui, Lakin rafiki anaweza kukupandisha kwasabab ipo siku utakuja kujua alikua mnafiki. Na wakati huo moyo wako utakua radhi kumsamehe adui na siyo rafiki.
➡Ili ufanikiwe lazim uwe na rafiki ili aje akupe changamoto ya unafki, maana changamoto Ndiyo ngazi yako ya mafanikio, Hivyo achana na mawazo hasi, tambua rafiki ni changamoto. Bila changamoto hakuna mafanikio, yaan bila rafiki hakuna mafanikio.
➡Woga ni hatari kwa afya ya mafanikio yako. Kilicho muhim ni kuushinda woga nasiyo kuukimbia maana woga ni ADUI mkubwa wa maisha yako, ili kuipuka khofu kwa adui ni kumua na wala siyo kumkimbia. Ukimkimbia siku zote utaishi kwa khohu ukimwogop huenda muda wowote akakushtukiza na kukuvamia. .. Hussen modu: Enjoy each step, happier is really success.

10/11/2019
Katika maisha daima ni lazuma changamoto ziwepo, na huu ni mfumo alio uweka baba wa mbinguni. Maana bila changamoto huwe...
09/11/2019

Katika maisha daima ni lazuma changamoto ziwepo, na huu ni mfumo alio uweka baba wa mbinguni.
Maana bila changamoto huwezu kuwa na maendeleo.
Mwanadam hufikiri kwamba laiti changamoto zisinge kuepo angefika mbali zaidi kumbe amefikiria kimamakosa, hajui kwamba changamoto ndizo zimemfanya akawa na maendeleo. Aliwahi kuniuliza rafiki yangu hivi unaonaje Mungu asinge weka "GRAVITY" ile nguvu ya sumaku ambayo inapatikana ktk anga la duni, tungekua tunaenda ktk sayari zungin bila ELECTRONIC DIVICE yaan kwa njia ya kutembea k**a aridhini, akasahau kwamba nguvu ile ndiyo inayimfanya apate stamina ya ktk ardhi. Yaan ukak**avu.
Vivyo hivyo hata ndege hufikiri kwamba laiti upep usinge kuwep angeenda kwa kasi sana, kasahau kwqmba bila ya ule upep asingeweza hata kupaa.
Ngudu zangu hebu tuzitumieni changamoto kupanda kimaendelei, tambua changamoto ni daraja la kukufikisha ktk mafanikio yako. ... Injoy each step. ... Happier is really success.
By:Hussen modu.

Address

Nangara
Babati

Telephone

+255620875863

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hussen modu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category