Hamza Abdul

Hamza Abdul group hili ni group la taarifa mbalimbali Michezo,burudani,breaking news(habari za papo wa papo)

ha

Kamata Ratiba Ya Soka LeoEngland - Premier League21:00Fulham vs Tottenham Hotspur21:00West Bromwich Albion vs Everton23:...
04/03/2021

Kamata Ratiba Ya Soka Leo
England - Premier League
21:00Fulham vs Tottenham Hotspur
21:00West Bromwich Albion vs Everton
23:15Liverpool vs Chelsea
Italy - Serie A
22:45Parma Calcio 1913 vs Inter
Spain - Copa del Rey
23:00Levante vs Athletic Bilbao
Turkey - Super Lig
16:00Alanyaspor vs Goztepe
16:00Kasimpasa vs Trabzonspor
19:00Fenerbahce vs Antalyaspor
Portugal - Cup
23:15Benfica vs Estoril
Belgium - Cup
20:00Genk vs KV Mechelen
22:45Standard Liege vs Club Brugge
Congo - Ligue 1
17:00 JS Talangai vs FC Nathalys de Pointe-Noire
18:00 AS Otoho vs Cara Brazzaville
19:00 AS Cheminots vs Patronage Sainte-Anne
19:00 AS Kondzo vs Racing Club de Brazzaville
19:00 Leopards de Dolisie vs Nico-Nicoye
19:00 V. Club Mokanda vs Inter Club Brazzaville
DR Congo - Ligue 1
17:30 FC Lubumbashi Sport vs Don Bosco
17:30 Saint-Eloi Lupopo vs AC Rangers
Egypt - Premier League
16:00Ghazl Al Mehalla vs National Bank
18:00El Geish vs ENPPI
Tanzania - Premier League
14:00Mtibwa Sugar vs Biashara Mara United
14:00Polisi Tanzania FC vs Kinondoni MC
16:00Coastal Union vs Young Africans
16:00Tanzania Prisons vs Mbeya City
Tunisia - Ligue I
16:00CA Bizertin vs Stade Tunisien
16:00CS Sfaxien vs US Tataouine
Zambia - Super League
16:00 Red Arrows vs Prison Leopards
16:00 Young Green Eagles vs NAPSA Stars FC
16:00 Zesco United vs Lumwana Radiants

Meshack Abraham Mwamita,kijana kutoka Mbeya maeneo ya Iyunga.Amewahi kuvitumikia vikosi vya Kimondo, Mbeya kwanza fc na ...
04/03/2021

Meshack Abraham Mwamita,kijana kutoka Mbeya maeneo ya Iyunga.
Amewahi kuvitumikia vikosi vya Kimondo, Mbeya kwanza fc na sasa anakipiga ndani ya Gwambina fc.

Ni miongoni mwa washambuliaji hatari hapa nchini.

Mpaka sasa amehusika kwenye magoli 10 ya Gwambina,akiweka kambani mabao 7 na kutengeneza mengine matatu.

Ni miongoni mwa washambuliaji chipukizi ambao wameitwa kwenye Timu ya Taifa.

Taifa linaweza kuwa limempata namba 9 lakin pia yote inaweza kuwa ni k**ali watu wnasubiri kuona maajabu yake pia muda utaongea

CAF KUWACHUNGUZA WACHEZAJI WA GOR MAHIAShirikisho la soka barani Africa CAF limefungua uchunguzi dhidi ya nahodha wa kla...
04/03/2021

CAF KUWACHUNGUZA WACHEZAJI WA GOR MAHIA

Shirikisho la soka barani Africa CAF limefungua uchunguzi dhidi ya nahodha wa klabu ya Gor mahia ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Keneth Muguna na goli kipa wa klabu hiyo Boniface Oluoch kufuatia tuhuma za kumshambulia na kutumia lugha chafu mwamuzi wa mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya klabu ya NAPSA Stars ya Zambia.๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ

Wachezaji 5 wa klabu hiyo tayari wametakiwa kujieleza kwa shirikisho la soka CAF kufuatia tuhuma hizo.

ERLING Haaland yupo tayari kujiunga na Real Madrid. Hiyo ni kwa mujibu wa kocha wa zamani wa Byrne FK, Alf Ingve Berntse...
20/05/2020

ERLING Haaland yupo tayari kujiunga na Real Madrid. Hiyo ni kwa mujibu wa kocha wa zamani wa Byrne FK, Alf Ingve Berntsen ambaye alimnoa straika huyo miaka ya nyuma.

Haaland alikuwa chini ya Berntsen tangu akiwa na miaka nane hadi 15. Kwa sasa straika huyo ana miaka 19 ambapo alianza kungโ€™ara na Red Bull Salzburg kabla ya Januari, mwaka huu kuhamia Borussia Dortmund.

โ€œKama ningekuwa kocha wa moja kati ya klabu tano kubwa duniani, ningemsajili.

โ€œNadhani yupo tayari kuichezea Real Madrid na huko atafanikiwa sana."

Erling ana miaka 19 tu na anaendelea kuonyesha ubora wake, k**a klabu kubwa zitashindwa kumsajili kwa sasa zitajutia huko mbele,โ€ alisema kocha huyo.

NYOTA anayewaniwa na Yanga kutoka DR Congo Mpiana Mozizi, amesema kuwa anasubiri simu ya mabosi wa Yanga ili atue Dar es...
20/05/2020

NYOTA anayewaniwa na Yanga kutoka DR Congo Mpiana Mozizi, amesema kuwa anasubiri simu ya mabosi wa Yanga ili atue Dar es Salaam.

Mshambuliaji huyo anayekipiga Lupopo FC, amekuwa akitajwa kuwa ndani ya rada za Yanga ambao wanahitaji kuongeza makali ya timu hiyo msimu ujao kwenye mechi za kitaifa na kimataifa.

Mozizi amesema kuwa anasubiri simu ya mabosi wa Yanga ili aweze kukamilisha utaratibu wa kutua ndani ya klabu hiyo.

"Ninasubiri kuona kwamba ninapigiwa simu na mabosi wa Yanga kwani tayari tumefanya mazungumzo ya awali iwapo kila kitu kitakwenda sawa basi nitatua hapo.

"Ndoto yangu ni kuwa kwenye ubora wangu na kufunga mabao mengi iwapo nitatua ndani ya Yanga,"

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hesabu za kuboresha kikosi zipo ila ni mpaka wakati wa usajili ukiwadia.

BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Klabu ya Coastal Union jina lake limekuwa likileta vurugu kwenye upande wa usajili ambapo i...
20/05/2020

BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Klabu ya Coastal Union jina lake limekuwa likileta vurugu kwenye upande wa usajili ambapo inaelezwa kuwa msimu ujao atakipiga ndani ya Klabu ya Simba.๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Habari zinaeleza kuwa dili lake la kuibukia ndani ya Yanga lilibuma baada ya beki huyo kuhitaji kupewa milioni 100 ili amwage saini ndani ya klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani.
Mwamnyeto amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo safu yake ya ulinzi ni miongoni mwa zile zinazofanya vizuri ambapo imeruhusu mabao 19 kwenye mechi 28 za Ligi Kuu Bara.
Mbali na kuwa beki pia ana bao moja kibindoni kati ya 27 yaliyofungwa na safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo yenye ngome yake Tanga.
Mwamnyeto amesema:"Kikubwa ninachokitazama ni maslahi yangu pamoja na nafasi ya kucheza ndani ya timu sichagui kambi popote ninacheza."๐Ÿ‘๐Ÿ‘

Address

Bagamoyo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamza Abdul posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category