Hakika YA Wokovu

Hakika YA Wokovu Now it's time for sons of God to know their chance. That's the assurance of salvation. Hakika Ya Wokovu

Usiyumbishwe a maneno ya hukumu wewe ni mfalme

Shalom wana wa Mungu. Somo la Jana👇UZIMA WA MILELE/WOKOVU WA MILELETuanze na Yohana 3:16"Ili kila amwaminiye asipotee Ba...
02/02/2020

Shalom wana wa Mungu.
Somo la Jana👇

UZIMA WA MILELE/WOKOVU WA MILELE
Tuanze na Yohana 3:16
"Ili kila amwaminiye asipotee Bali awe na uzima wa milele"

Katika uzima tuliopewa na Kristo k**a matokeo ya Ku mwamini, tumepewa huu uzima milele. Uzima katika Kristo tuko nao milele.
Sio uzima wa Siku kadhaa, halafu ni uzima ambao tunao kwa kuamini tu, sio kwa matendo yetu, k**a ni hivi mwamini huna matendo ya kufanya ili huu uzima uendelee kuwepo kwako. Mpango wa Baba ni kwamba ukimuamini anakupa uzima wote wote, sio wa mkopo, wala hakupi uzima ulifungamanishwa na majukumu ya kuutunza kwa matendo au kwa kutotenda.
K**a ambavyo tumeupokea uzima bure kwa kuiamini kazi ya msalaba, unakaa milele bure, ndio maana ni uzima wa milele

Ndio maana Warumi 8:1 anasema
1 Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu.

Uzima wa milele na hukumu havikai sehemu moja

Yohana 3:16

16 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Anasema kila amwaminiye asipotee, Bwana Yesu sio mwongo, k**a umemwamini Kristo hakuna kupotea unao uzima wa milele,

Na hupotei kwa sababu njia ya kwenda kwa Baba ni Yesu Kristo, anasema yeye ndiye njia na kweli na uzima mtu haendi kwa Baba isipokuwa kwa njia ya yeye, ndio maana yoyote anaeifuata njia ya Kristo hajapotea amefika kwa Baba.

16/01/2020

Hizi ndizo nguvu za giza ambazo kristo alituokoa kwazo

19/11/2018

Ni kweli tupu

15/10/2018

Address

TAGAWI/ITILIMA SIMIYU
Bariadi

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00
Saturday 11:00 - 06:00
Sunday 03:00 - 06:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hakika YA Wokovu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hakika YA Wokovu:

Share

Category