Big.ur

Big.ur Sports Breaking news

28/04/2026

Fantastic Benjamin πŸ”΄πŸ”΄β™₯️ Manchester United

22/04/2026

Nice to see πŸ”΅

20/04/2026

Utd πŸ”΄πŸ”΄

Arsenal sorry 😁😁
22/03/2026

Arsenal sorry 😁😁

08/03/2026

What a stunner β™₯️β™₯️ Clatous Chama Baba what a player πŸ”΄πŸ¦πŸ¦

TAARIFA YA MCHEZOπŸ”΅πŸ”΄ Barcelona yaibuka na ushindi muhimu La LigaKlabu ya FC Barcelona imefanikiwa kupata ushindi mwembamb...
08/03/2026

TAARIFA YA MCHEZO

πŸ”΅πŸ”΄ Barcelona yaibuka na ushindi muhimu La Liga

Klabu ya FC Barcelona imefanikiwa kupata ushindi mwembamba wa bao 1–0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga uliochezwa jana katika uwanja wa San MamΓ©s.

Bao pekee la mchezo lilifungwa na nyota chipukizi Lamine Yamal dakika ya 68, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Pedri. Bao hilo liliihakikishia Barcelona pointi tatu muhimu katika mbio za ubingwa.

Kwa ushindi huo, Barcelona inaendelea kuongoza msimamo wa La Liga na kuongeza presha kwa wapinzani wao katika mbio za ubingwa.

πŸ”₯ Barcelona wanaonyesha kuwa bado wana nguvu kubwa kwenye mbio za taji msimu huu.

Yanga wanashinda kwa goal 3-0 na kubeba arama tatu kibindoni, na kuendelea kujikita kileleni mwa
05/03/2026

Yanga wanashinda kwa goal 3-0 na kubeba arama tatu kibindoni, na kuendelea kujikita kileleni mwa

DABI YA KARIakoo YAMALIZIKA KWA SARE Mchezo mkali kati yaSimba SC πŸ†š Young Africans S.C.ulimalizika kwa sare ya 0-0.Iliku...
02/03/2026

DABI YA KARIakoo YAMALIZIKA KWA SARE

Mchezo mkali kati ya
Simba SC πŸ†š Young Africans S.C.
ulimalizika kwa sare ya 0-0.

Ilikuwa ni mechi ya ushindani mkubwa, kila timu ikipambana kutafuta bao la ushindi lakini safu za ulinzi zilikuwa imara zaidi.

Hakuna mbabe aliyepatikana safari hii β€” pointi moja kwa kila upande 🀝

Je, unaonaje matokeo haya? Nani alistahili kushinda?

MICHEZO;πŸ”₯ BRUNO AONG'ARA TENA! πŸ”₯Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameonyesha kiwango cha juu katika mechi y...
02/03/2026

MICHEZO;

πŸ”₯ BRUNO AONG'ARA TENA! πŸ”₯

Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, ameonyesha kiwango cha juu katika mechi ya jana akiongoza safu ya kiungo kwa ubunifu na mapambano makali.
Bruno alionekana kuwa moyo wa timu, akitengeneza nafasi kadhaa za mabao na kuonyesha uzoefu wake mkubwa uwanjani. Uchezaji wake umeendelea kuwapa mashabiki matumaini makubwa katika msimu huu.

πŸ‘ Kazi kubwa kwa bruno



Simba SC Tanzania First 11, vs Dodoma Jiji
25/02/2026

Simba SC Tanzania First 11, vs Dodoma Jiji

24/02/2026
Manchester United have reached an agreement with Chelsea to sign Mason Mount. Deal for 24yr England midfielder worth up ...
30/06/2023

Manchester United have reached an agreement with Chelsea to sign Mason Mount. Deal for 24yr England midfielder worth up to Β£60m (Β£55m + Β£5m adds). Permission given to do medical + finalise personal terms. Now to paperwork stage Manchester United

Address

Bukoba

Telephone

+255769424069

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Big.ur posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share