04/11/2023
Mambo ni mengi muda ni mchache, Katika shindano hili la BFM TALENT COMPETITION MSIMU WA PILI,Kama bado hujafika kuwatazama washiriki wa kuimba,kucheza na mitindo unakosa mengi sanaaa!!
Usikose week ijayo siku ya Jumapili kiwanja ni kile kile Mexico Hotel Kashai kwa kiingilio cha shilingi elf mbili tu utaweza kutazama burudani kibao ili mwisho wa Mashindano haya tuweze kumpata mshindi pande zote tatu ambapo mshindi wa kwanza atapata zawadi ya shilingi milioni moja,mshindi wa pili atapata shilingi laki tano na mshindi wa tatu atapata shilingi laki tatu category zote tatu,Tunawakaribisha sana....
Tembelea Channel yetu ya Youtube kutazama matukio yote,usisahau Kusubscribe,Kushare na Kucomment.