Bukoba Consultancy Agency

Bukoba Consultancy Agency Call Now/ +255628952416. We link / connect you to the service owners . Not free

Kuna Speaker Hapa Zinauzwa Kwa Bei Nzuri , Chagua K**a Utaitaji Nipigie kwa Hii No 0744952416 Unapata Haraka Iwezekanavy...
30/04/2025

Kuna Speaker Hapa Zinauzwa Kwa Bei Nzuri , Chagua K**a Utaitaji Nipigie kwa Hii No 0744952416
Unapata Haraka Iwezekanavyo .

Nipigie 0782480850
06/03/2025

Nipigie 0782480850

Habari Wapendwa Kuna Nyumba Inauzwa Maeneo Ya Airport Bukoba Mjini , Nyuma Ya Kiwanda Cha Pepsi . KARIBUNI TUFANYE MAELE...
09/09/2024

Habari Wapendwa Kuna Nyumba Inauzwa Maeneo Ya Airport Bukoba Mjini , Nyuma Ya Kiwanda Cha Pepsi .
KARIBUNI TUFANYE MAELEWANO .

K**a Unauitaji Wa Mahali Safi Kwa Ajiri Ya Usafi Wa Mavazi , karibu Tunapatikana Muda Wote Kukuhudumia . Bukoba, Tanzani...
16/11/2023

K**a Unauitaji Wa Mahali Safi Kwa Ajiri Ya Usafi Wa Mavazi , karibu Tunapatikana Muda Wote Kukuhudumia .

Bukoba, Tanzania

Road to   and  K**a unaitaji mizunguko ya kukuonesha Sehemu tofauti   tutafute . Utalipia Gharama Kulingana Na Mizunguko...
25/10/2023

Road to and

K**a unaitaji mizunguko ya kukuonesha Sehemu tofauti tutafute . Utalipia Gharama Kulingana Na Mizunguko Unayoitaji .

Karibu Tupo kuku HUDUMIA kwa moyo kunjufu Kabisa , Uone Na Upate Kujua Uzuri na thamani Ya Mji Wa

TANGAZO KWA WANA BUKOBA  KUKU  KUKU  ( HUDUMA ZA UPATIKANAJI WA KUKU NA MAITAJI YAKE ) K**a Unaitaji Kuku Wa Mayai , Kuk...
08/10/2023

TANGAZO KWA WANA BUKOBA

KUKU KUKU ( HUDUMA ZA UPATIKANAJI WA KUKU NA MAITAJI YAKE )

K**a Unaitaji Kuku Wa Mayai , Kuku Wa Bihashara, Kuku wakufuga , Vifaranga , Mayai , Vyakula Vya Kuku , layers , broiler, kuroiler

Tupigie Simu au andika Ujumbe mfupi wa maneno Kwenye page Yetu , tukuhudumie kwa kukuunganisha na mahali kuku na maitaji yake yote yalipo ,
Utachangia kidogo ili kuendeleza Kuipa nguvu HUDUMA Yetu Hii.

Bukoba Consultancy Agency

19/09/2023

WELCOME AND VISIT BUKOBA , ( TOURISM ATTRACTIONS)

Bukoba is found in Kagera Region , Tanzania 🇹🇿

We Welcome Visitors ,

We are here to show you around

19/09/2023

TAHARIFA NZURI : BUKOBA

HUDUMA MPYA kwa Wakazi Wa Wilaya Ya Bukoba .

MMKOMBOZI WA BIHASHARA YAKO

💥 tunatoa ushauri BURE na kutatua matatizo ya wafanya bihashara .
💥 mafunzo jinsi ya kukuza bihashara yako Kimtandao/ Digital Marketing kwa muda mfupi.
💥tunakuletea wateja wengi ndani ya muda mchache , kwenye bihashara yako yoyote ile kupitia technolojia na mifumo imara na kupata majibu papohapo .
🌤tunaunda mifumo mipya ya kibihashara utakayoweza kuanzia kuuza bidhaa/huduma zako kuanzia mtaani kwako adi Duniani Mzima.

Tupigie tunapatina muda wowote kukusikiliza
Mawasiliano :

Simu ya mkononi 0753815667
‪ 0689 648 559‬

WHATSUP :0753815667

19/09/2023

BUKOBA CONSULTANCY AGENCY

The following are Services/ zifuatazo ni HUDUMA;

✔️VISITORS CUSTOMER CARE / wageni wanaoingia mara ya kwanza Bukoba .

SERVICES / HUDUMA:
1. Hotels Bookings / uitaji wa nyumba za kulala wageni.
2. Restaurants Orders/ uitaji wa Sehemu Nzuri za kupata Vyakula Safi .
3. Allocation of social services/ kukuonesha sehemu zenye huduma muhimu, mfano. Banks , Hospital, Phamarcy, Beaches n.k
4. Bukoba Road travels / matembezi ndani ya Mji Wa Bukoba .
5. Bnb / uitaji wa nyumba za kupanga .
6. Meeting Halls / sehemu za kufanyia mikutano.

✔️YOUTH GROUP UNITY / Umoja Wa Vijana.
English :
If your interested to join our group , your welcom . We take time to share ideas , tell stories , dance , exercise , camping , learn , etc
Swahili :
- k**a unakua unaitaji kikundi cha kukaa pamoja kwa umoja na upendo kipo .
Tunabadilishaa Mawazo , michezo , simulizi , matembezi, tunaelimishana, mazoezi , n, k

✔️TRANSPORTATION / usafiri Private Car Booking / unapata usafiri binafsi Public Car Booking / unapata usafiri wa jumla

✔️ BUKOBA ATTRACTIONS / utalii sehemu za historia , mira na desturi.
Mfano ,mutagata hot spring

✔️DIGITAL MARKETING SUPERVISOR/ kukuza bihashara yako kimtandao na kupata matokea kwa muda utakao 🌤fursa si ya kukosa🌤

Address

Bukoba

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bukoba Consultancy Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share