RADIO Vision FM Tanzania

RADIO Vision FM Tanzania Commercial radio

Mtume Boniface Mwamposa wa Madhabahu ya Inuka Uangaze alipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkut...
11/02/2023

Mtume Boniface Mwamposa wa Madhabahu ya Inuka Uangaze alipotembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 10 kikao cha 9 Bunge la 12, kwa mualiko maalumu wa mbunge wa jimbo la Katavi Mhe Anna Lupembe.

Kesho ni siku ya Kongamano Kubwa la kuweka maji ya siku saba na kuachia neno la mwezi wa Pili,Usipange kukosa.
11/02/2023

Kesho ni siku ya Kongamano Kubwa la kuweka maji ya siku saba na kuachia neno la mwezi wa Pili,

Usipange kukosa.

Usikose kufuatilia Shuhuda Mtaa kwa Mtaa kupitia redio washirika Sibuka Fm 94.5 Ijumaa hii
09/02/2023

Usikose kufuatilia Shuhuda Mtaa kwa Mtaa kupitia redio washirika Sibuka Fm 94.5 Ijumaa hii


KONGAMANO KUBWA LA UKOMBOZI WA SIKU YA KUZALIWA NA KULA KEKI YA UPAKO.✍️Haijalishi ulinenewa nini ulipozaliwa wala ulifa...
28/01/2023

KONGAMANO KUBWA LA UKOMBOZI WA SIKU YA KUZALIWA NA KULA KEKI YA UPAKO.

✍️Haijalishi ulinenewa nini ulipozaliwa wala ulifanyiwa nini,

✍️Kitu Chochote cha giza kilichofanyika kupitia siku yako ya kuzaliwa, kufunga au kuharibu nyota na maisha yako kitaharibiwa katika Jina la YESU na MUNGU atakupa amani katika Maisha yako,

✍️Ni Jumapili hii ya tarehe 29. 01. 2023 katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam,

✍️Watu wa Dini zote Mnakaribishwa.



.

UKOMBOZI WA MWANAMKE NA UZAO WAKE:✍️Kama wewe ni mwanamke na ... Unahitaji mume, Unahitaji mtoto, Ndoa yako haina amani,...
16/01/2023

UKOMBOZI WA MWANAMKE NA UZAO WAKE:

✍️Kama wewe ni mwanamke na ... Unahitaji mume, Unahitaji mtoto, Ndoa yako haina amani, Mume amekukimbia, Watoto wako hawaeleweki, Uchumi wa familia yako unasuasua,

✍️Usikose ibada hii maalum ya wanawake muhimu kwa ajili yako na familia yako,

✍️ Njoo ujifunze siri ya KUACHA KULIA itakavyoleta amani katika maisha yako na familia yako .

✍️ Mwanamke ukikombolewa Ndoa imekombolewa, Watoto wamekombolewa, Familia imekombolewa , Uchumi wa familia umekombolewa pia.

✍️ Pia hata wewe ambaye huna tatizo lolote kwenye ndoa wala uzao, njoo pia utajifunza njia za kupata hekima zaidi na kuzidi kutunza amani katika ndoa yako.

✍️ Kumbuka huu ni mwaka wa IMANI na MUNGU atakupa amani ya ndoa yako mwanamke.

✍️Ni Alhamis hii tarehe 19.01.2023 Kuanzia saa 6 mchana TANGANYIKA PACKERS KAWE DAR ES SALAAM.

✍️Uliyepo Kagera usiache kusikiliza Vision fm 100.0 tutakuwa mubashara .

✍️ SIKU 30 ZA KUFUNGA NA KUOMBA: ✍️JIUNGE NA MTUME BONIFACE MWAMPOSA BULDOZER KATIKA SAFARI HIYO YA SIKU 30 KILA SIKU KU...
16/01/2023

✍️ SIKU 30 ZA KUFUNGA NA KUOMBA:

✍️JIUNGE NA MTUME BONIFACE MWAMPOSA BULDOZER KATIKA SAFARI HIYO YA SIKU 30 KILA SIKU KUANZIA LEO JUMATATU 16.01.2023 AMBAPO KUTAKUWA NA MAOMBI MAALUM YA MFUNGO KUANZIA SAA 7 MCHANA.


✍️USIKOSE IBADA KUBWA YA  KESHO JUMAPILI, AMBAPO NI IBADA YA  KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO KATIKA MWEZI HUU WA ...
14/01/2023

✍️USIKOSE IBADA KUBWA YA KESHO JUMAPILI, AMBAPO NI IBADA YA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO KATIKA MWEZI HUU WA BARAKA ZA KUONGEZEKA NA KUZIDISHWA,

✍️ IBADA YA AWAMU YA KWANZA NI KUANZIA SAA 12 ASUBUHI NA IBADA YA AWAMU YA PILI ITAANZA SAA 6 MCHANA,

✍️ KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE DAR ES SALAAM,

WAHI KITI CHAKO MAPEMA,

UNAPOKANYAGA MAFUTA YA UPAKO, NIRA, UCHAWI, UGANGA NA VYOTE VIBAYA ULIVYOFANYIWA VITAHARIBIWA VITAHARIBIWA KABISA.

✍️Mwaka 2023 ni mwaka wa BARAKA ZA KUONGEZEKA NA KUZIDISHWA,✍️UTATEMBEA NA JESHI LISILO ONEKANA,✍️UTATAWALA NA KUMILIKI,...
13/01/2023

✍️Mwaka 2023 ni mwaka wa BARAKA ZA KUONGEZEKA NA KUZIDISHWA,

✍️UTATEMBEA NA JESHI LISILO ONEKANA,

✍️UTATAWALA NA KUMILIKI,

✍️Mwanzo 1:28
✍️Mwanzo 22:16-17
✍️Mwanzo 12:2-3.

✍️USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO JUMAPILI HII ya JANUARY 15,✍️KATIKA VIWANJA VYA TANGA...
13/01/2023

✍️USIKOSE KONGAMANO KUBWA LA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO JUMAPILI HII ya JANUARY 15,

✍️KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS KAWE DAR ES SALAAM,

✍️UNAPOCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO NIRA, UCHAWI, UGANGA NA VYOOTE VITAHARIBIWA KABISA.

WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA

Baraka ni Jeshi lisiloonekana linalokupigania.Mwaka huu wa Baraka na kuongezeka utaleta mabadiliko katika maisha yako.Ut...
01/01/2023

Baraka ni Jeshi lisiloonekana linalokupigania.

Mwaka huu wa Baraka na kuongezeka utaleta mabadiliko katika maisha yako.

Utaongezeka kiuchumi,kiafya na kielimu katika Jina la yesu.

Pokea Baraka na Kuongezeka.



Maelfu ya watu wakipokea Ujumbe wa mwaka 2023 katika mkesha mkubwa wa CHAKO NI CHAKO Kawe Tanganyika packers.Mwaka 2023 ...
01/01/2023

Maelfu ya watu wakipokea Ujumbe wa mwaka 2023 katika mkesha mkubwa wa CHAKO NI CHAKO Kawe Tanganyika packers.

Mwaka 2023 ni mwaka wa BARAKA ZA KUONGEZEKA NA KUZIDISHWA,

UTATEMBEA NA JESHI LISILOONEKANA,

UTATAWALA NA KUMILIKI.

Mwanzo 1:28
Mwanzo 22:16-17
Mwanzo 12:2-3



MTUME  Boniface Mwamposa (Bulldozer) akimshukuru Mungu usiku wa Mwaka mpya mara baada ya kutangaza Ujumbe wa mwaka 2023 ...
01/01/2023

MTUME Boniface Mwamposa (Bulldozer) akimshukuru Mungu usiku wa Mwaka mpya mara baada ya kutangaza Ujumbe wa mwaka 2023 katika mkesha mkubwa wa CHAKO NI CHAKO Kawe Tanganyika packers.

Mwaka 2023 ni mwaka wa BARAKA ZA KUONGEZEKA NA KUZIDISHWA.

UTATEMBEA NA JESHI LISILO ONEKANA,

UTATAWALA NA KUMILIKI.

Mwanzo 1:28
Mwanzo 22:16-17
Mwanzo 12:2-3

Address

Kibeta
Bukoba
35109

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when RADIO Vision FM Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to RADIO Vision FM Tanzania:

Share